Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Habari wakuu,

Nina seving yangu ya milion 50 nataka kuweka finca fixed deposit nasikia wanatoa riba ya 14% kwa mwaka tofauti na bank nyingine wao hutoa 6%.

Asilimia 14% za finca zimenivutia nataka kuzifata wasiwasi wanguu kuhusu hii bank usalama sije ikafilisiwa na BOT, Je pesa zetu tutazipataje?

Screenshot_20221028-153225.jpg


Tanzania wameingi mnao mwaka 1998

Orginal ya hii bank was funded ware?
 
Hatar kiongozi ,mm Ela naek NMB,CRDB,EQUITY,NBC. izo zilizobaki CJUI diamond,e commerce,kmc,finca ,znaweza filisika mda wowote na muhusika kwenda kulilia chooni
wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB

kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani

hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
 
wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB...
Nenda Tawi lililopo karbu kajiridhishe , kuhusu uimara wa bank , hyo bank siyo ya kufilisika Leo wala kesho , ilistahimili kipindi cha Maghufuli sembuse hzi awamu za upigaji, kama gap umelisoma changamka fursa , ni moja ya bank maarufu Sana hapa tz
 
Nenda Tawi lililopo karbu kajiridhishe , kuhusu uimara wa bank , hyo bank siyo ya kufilisika Leo wala kesho , ilistahimili kipindi cha Maghufuli sembuse hzi awamu za upigaji, kama gap umelisoma changamka fursa , ni moja ya bank maarufu Sana hapa tz
hakika mkuu nitafanya ivyo nitarudi na mrejesho hapa hapa jamvinii

je ikitokea bank imefilisika ndo kama yale ya karinda cjuw kayndaa
 
Habari wakuu,

Nina seving yangu ya milion 50 nataka kuweka finca fixed deposit nasikia wanatoa riba ya 14% kwa mwaka tofauti na bank nyingine wao hutoa 6%...

Mkuu unaweza invest kwenye kampuni / Project binafsi?

as long as ROI itazidi hiyo watakayokupa FINCA eg instead ya 7M ikawa zaidi ya hapo lets say 20M + per Year

if 'Yes' tuongee kunajoint project pamoja
 
hakika mkuu nitafanya ivyo nitarudi na mrejesho hapa hapa jamvinii

je ikitokea bank imefilisika ndo kama yale ya karinda cjuw kayndaa
Sio mtaalamu wa masuala ya kifedha , lakn nachojua Bank zote Wana kiasi BOT , ambacho kinalinda amana za wateja , endapo bank itaflisika.

Serikali itaitaifsha , ili kulinda amana za wateja , Yani BOT haiwezi kuruhusu bank kuoperate katika mazingira ambayo bank haiwez hata kurudisha pesa za wateja ndo mana kuna wakat bank huwa zinafungwa , kulinda hyo issue
 
Sio mtaalamu wa masuala ya kifedha , lakn nachojua Bank zote Wana kiasi BOT , ambacho kinalinda amana za wateja , endapo bank itaflisika,serikali itaitaifsha , ili kulinda amana za wateja , Yani BOT haiwezi kuruhusu bank kuoperate katika mazingira ambayo bank haiwez hata kurudisha pesa za wateja ndo mana kuna wakat bank huwa zinafungwa , kulinda hyo issue
nimekusoma mkuu ngoja nifatilie bank zalizofilisika hapa tanznaia what happened behind b.o.t and bank member

but unazidi kunitia moyo mkuu
 
Back
Top Bottom