- Thread starter
- #141
mbona upo uchi hujaongwa sutiii???Ndio maana upo stressed sana, acha kazi fanya biashara uongeze kipato.

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.
Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN
nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

umeshachunguza ni kwanini huyo mmasai anaelekea kukumwaga?
usihangaike kutoa boriti kwa mwenzio, jichunguze kwanza..................
Isije kuta ndo nyie kunako 6x6 mnaleta mapozi na kujishaua tu, lakini kazi hamuiwezi!!!
sidhani kama unampakulia vizuri mtoto wa kiume atakuacha..................thubutuuuuuuuuu
anaebisha aseme hapa.....................
Mimi nabisha.................

Cjui tumtafutie wimbo gani
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.
Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN
nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
Dena Amsi

kama hutosheki ni wewe wanaume wenzio hasa wa hapa jf twatosheka kabisautamlea akipendeza lazima atabeep nje!suala la kuwa wako peke yako sahau!wanaume hatutosheki
Naona hiyo net ya 600,000 inakupaisha mabega sana.Bado ni kidogo sana kama utataka kuishi a real decent life!Pia naona ethically una matatizo.Please come back to ground level, maisha yatakuwa na maana zaidi.Life is not about man and money only.
eti nini????? Hapa bongo/dar ambae hana kabisa anao kama wanawake wanne hivi.(labda upate mwana jf ambo kwa kweli tumetulia)nakuja kuchukua mwanaume wa ushwahiini huko dar, sitaki sharobaro hata kidogo

utadhani huna dada aliyeolewa kwa namna unavyoandika