nimekumiss weweHabari ya siku nyingi Marytina???!!.........Pole mwaya, usikate tamaa, tulia mwombe Mungu atakupa kijana mzuri mtulivu ambaye utaishi naye kwa ndoa! All the best!
polesana ndugu ukitaka mme wa pekeyako labda umwumbe mwnyewe.

i appreciate!!!!!!!!! ila nataka wangu peke yangu
nina vigezo@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.
Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN
nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
umenikumbusha Michelle
nilimpenda sana na naturally nilimwogopa
yaani sikuwa naweza posts mambo flani flani kwa kuogopa karipio la michelle
i lv her so much!!!!nimemiss sana
nimekumiss wewe![]()
KH i hope wewe mzima
SITAKI KIJANA MWINGINE zaidi ya huyo Mmassai, nampenda sana ila ananisumbua kwa sasa.
Nahisi mungu hatakuwa amenitendea haki akiruhusu aniache
otherwise ni bora nilee mwanaume
Umenipa bitter sweet memories of her... Tumshukuru tu Mungu she is well and good.

Wangu mambo vp?
micchelle alikuwa brain govenor yanguUmenipa bitter sweet memories of her... Tumshukuru tu Mungu she is well and good.
mwambie i will buy u a woman if we meet at club Qi will buy you a drink

Mie safi kabisa... angekua me ingekua wimbo wa "I need a gal" Sasa Marytina ni mdada... naona fanya homework... Mzima wewe?
Jamani AD, kama una mawasiliano naye, please mpe salaam zangu! For sure I miss her dearly
man asiyemsomi,not handsome, mwenye robo ya kipato changu,aliyevusha umri wa kuoa, ethnical mannina vigezo
ntakuwa nikidharaulika

kuwa single kama little x.

ntakuwa nikidharaulika