Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

utamlea akipendeza lazima atabeep nje!suala la kuwa wako peke yako sahau!Wanaume hatutosheki
Mimi Naomba unilee tafadhali. Mimi si kama Bongolala ambaye hatosheki. Mimi natosheka na nitaendelea kutosheka na wewe. Tafadhali ni-pm niko tayari kabisaaa.

eti nini????? Hapa bongo/dar ambae hana kabisa anao kama wanawake wanne hivi.(labda upate mwana jf ambo kwa kweli tumetulia)

Unaakili sana!

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Wanaume legelege wapo CCM wengi sana tena sio wa kutafuta,hata humu JF wamo wengi tu JIPONGEZE kwa makofi matatu UMEWIN.

Mimi Naomba unilee tafadhali. Mimi si kama Bongolala ambaye hatosheki. Mimi natosheka na nitaendelea kutosheka na wewe. Tafadhali ni-pm niko tayari kabisaaa.

Amesema anataka mwanaume legelege je wewe ni legelege?

mi mzima marytina. Pole sana. Ila hilo wazo la kulea mwanaume wala mimi siliungi mkono, utakuja kuumizwa zaidi! Bora tulia tu kwa huyo mmasai wako.
amekwambia majeshi ya waasi yanashambulia himaya yake,hujamwelewa?????

Kloroquin zis ize golden chance 4U. Wazungu husema sometimes opportunity luk for u (pipo) sory English difficult

Zaa wa kwako, ndio namna pekee utakavyompata

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Sister ni wazo zuri. kwanza naomba u-post picha yako tuone kama unalipa kama mfugaji au la. Ni vizuri ukiwa full kuanzia reception mpaka usafiri. Baada ya hapo tutalinganisha na dau lako.

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Ila inabidi uwe makini asije akawa legelege mpaka kule kunako shughuli nyeti.

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Dunia ndivyo ilivyo dada yangu...nakushauri usikate tamaa kupenda kwani ipo siku utampata takae kupenda kwa dhati na mkadumu kwenye mahusiano.
Fedha haileti mapenzi na amini ukimpata atakae kuwa chini yako bado hutapata furaha.
Hope is the last thing you should loose.

Mimi Naomba unilee tafadhali. Mimi si kama Bongolala ambaye hatosheki. Mimi natosheka na nitaendelea kutosheka na wewe. Tafadhali ni-pm niko tayari kabisaaa.

Yeye amesema anataka legelege wewe unaongelea kutosheka. We mwambie na uthibitishe kuwa ni legelege. Ila kama nimemwelewa sawasawa nadhani kitendo tu cha wewe kuweza kupost kwenye JF kimeshakuondoa.

Huyo labda umzae wewe, lakini kwa dunia hii ninayoishi mimi? sidhani kama itawezekana, haya kila la heri, yakikushinda njoo nakukaribisha kwangu; wifi yako ni mkarimu sana sidhani kama atakaataaaa kukupokea!

Mbona tupo tu tumetulia kwenye pingu zetu za maisha.

Dah pole sana. ila usijali wapekeyako kumpata yawezekana japo ningumu sanaaaaaaaaaaaaaaaa. ila kama uko tayari njoo kwangu uwe mke wa pili. ujihakikishie mko wa wili2. jisikie huru unakaribishwa.

Kama ungefanikiwa kupata nafasi ya kugombea Ubunge wa viti maalumu na kushinda, MMasai
Asingekuacha na kumkimbilia huyo aliyetoka USA.
Na kwa kamshahara kako hako wewe andika umeumia huwezi kulea Mwanaume akakaa, subiri nafasi nyingine na wewe uwezeshwe na wanasiasa, manake mambo si mambo!

Hata huko waweza umizwa tu, kwani mwanume atajifeel infirior kila utalofanya for good litaonekana umempanda kichwa, ushauri ni tulia just mwombe Mungu kwani kama mke mwema hutoka kwa bwana basi hata mume mwema ndo yeye hutoa. Utapata wa kufanana naye, jipe moyo mkuu.

Back
Top Bottom