Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Pm me nikushauri huku ni kuogopa na kukata tamaa tu
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
niikuwa natagemea utasema "nina net salary ya Tshs. 3,000,000

kwa hiyo laki sita aisee, wewe ni mmoja wapo wa watu masikini wasio na uwezo wa kununua mwanaume. hata kujihudumia wewe mwenyewe tu haitoshi. sikutukani ila ukweli ndio huo.
 
a man is polygamy in nature
 
duh hii imeshapitwa na wakati hainabudi kuzipisha post nyingine yani toka 2011
 
Una moyo. Shughuli hiyo ya kumlea mwanaume hainikuti, Big NO. Kisa kufa na kihoro. Wanaume wenyewe wa kibongo, halooooo.

Hata wanaume wanaowalea wanawake nawashangaa maana binadamu hawaleleki kabisa bora mtu akupende
 
niikuwa natagemea utasema "nina net salary ya Tshs. 3,000,000

kwa hiyo laki sita aisee, wewe ni mmoja wapo wa watu masikini wasio na uwezo wa kununua mwanaume. hata kujihudumia wewe mwenyewe tu haitoshi. sikutukani ila ukweli ndio huo.

Post ya 2011 may be kwa wakati huo ilikuwa na value.Ila hiyo hela haiwezi kumdhibiti mtu
 
Back
Top Bottom