Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

mi mzima marytina. Pole sana. Ila hilo wazo la kulea mwanaume wala mimi siliungi mkono, utakuja kuumizwa zaidi! Bora tulia tu kwa huyo mmasai wako.
nimejaribu iwezekanavyo kuhakikisha hanitoki ila sipendi his current move na mdada flani, sijaumbwa kuumia kiasi hiki but la muhimu bado nipo naye

micchelle alikuwa brain govenor yangu
sikuwa nabishana naye mara tatu manake niliishia kujishtukia

Marytina naamini kabisa usemalo... For hapa jamvini wewe huongopi... Ulishawahi sema the following katika one of my threads... Hivo if you say alikua brain governor... then naamini.... and she is good pia, hivo naamini mara nyingi ushauri wake umesimama...

• I live life to the fullest at JF nikiwa mtaani haiwezekani mambo mengine ni kero kwa jamii - Merytina

Salam zimefika Mpenzi... ila nakushauri umPM... Anaweza delay but she will definitely get back to you... Karen... Umeulizwa kama mzima hapo nyuma na ukasema you are good - ndio maana leo nikakupita bila salamu....lol... Mie mzima pia.

Asante my dear, will do that! Usijali my dear, nimefurahi kujua hilo!
Wish you a blessed evening!

Marytina

Ongeza dau bibie, hiyo sidhani Kama inatosheleza kulea mtoto wa chekechea achilia mbali mtu mzima na mambo yake!

Jamani nilichelewa sijui wapi

Mimi nina.
Net salary ya 1.2M
Elimu yangu ni Bcom

nikupate wapi jamani

Mi hapa niko ready lakini mpaka nami nijue uhakika kwamba nitakuwa wa kudumu kweli? kama itakuwa hivyo basi nitakufanya uione dunia ni mahali pazuri pa kuishi na kamwe hautajuta kuwa na mimi ila utajiuliza nilikuwa wapi kipindi chote ulichokuwa unateseka na hao matapeli.

Mi hapa niko ready lakini mpaka nami nijue uhakika kwamba nitakuwa wa kudumu kweli? kama itakuwa hivyo basi nitakufanya uione dunia ni mahali pazuri pa kuishi na kamwe hautajuta kuwa na mimi ila utajiuliza nilikuwa wapi kipindi chote ulichokuwa unateseka na hao matapeli.

Muamba ngozi .............?

marytina

ongeza dau bibie, hiyo sidhani kama inatosheleza kulea mtoto wa chekechea achilia mbali mtu mzima na mambo yake!
jamani hata mtoto wa mama wa dar?inatosha na sina namna ya kupata hela zaidi ya hiyo

Mie nakwambia kila siku Live your life.. unadengua... Unaona sasa??

Merytina i gurantee wewe huyu jamaa ni wa pori... tena nene....lol

Asante ashadii.may ntaweza kutolewa porini nilipo

marytina naamini kabisa usemalo... For hapa jamvini wewe huongopi... Ulishawahi sema the following katika one of my threads... Hivo if you say alikua brain governor... Then naamini.... And she is good pia, hivo naamini mara nyingi ushauri wake umesimama...

• i live life to the fullest at jf nikiwa mtaani haiwezekani mambo mengine ni kero kwa jamii - merytina
yaan michelle angekuwa mama mkwe wangu sijui!!!!!!!!!!nampenda ila nilimwogopa sana

Back
Top Bottom