Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

kwa hiyo pesa,...sidhani kama utampata hata mmoja_maake sijui kama utamudu kumlea kweli kwa hela hiyo,...anyway ngoja tusubiri,...otherwise safari njema

Shosti pole kwa yalokukuta,lakini ondoa mawazo ya wako peke yako, na mwanaume hanunuliwi kwa pesa,ananunuliwa kwa ulimi...
hapo red yes ila Mmasai amekuwa wangu pekee yangu kwa muda mrefu ni huyu kisirani wa kusoma america amejanivurugia
nataka mwanaume wa kumdhibiti finencially na kwa maneno

Utampata atakeyekua mwaminifu na kukupenda kweli tu usikate tamaa.
Kwangu mimi, kipato has nothing to do with Mapenzi. Mtu anayependa kweli hela sio tatizo, hata njaa mtalala na atakua mwaminifu.

Its the world i am dreaming about,....lakn katu huu sio ukweli kwenye dunia hii ninayoishi_labda mbilikimo wa congo

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

sasa marytina sie tunaopenda kuchovya chovya ndo imekula kwetu au?

unamnunua wa nini? usjali utapata wengi tu hata utashindwa uwapunguzie wapi
shosti ujue kla shetani na mmbuyu wake hata kama mibuyu ipo mingi lakini kuna mmbuyu specific na Mmasai ananifaa sana sema kaingia uchafu kwa sasa

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

Huyu anakufaa nikupe mawasiliano yake? vlcsnap-42850.png

Whatever you do its your call, but just remember you can't buy love, what goes round comes back round. Maybe not now not tommorrow but the day after! get my drift?
Natamani nikufanye my brother from another mother
umenifurahisha sana

Naona hiyo net ya 600,000 inakupaisha mabega sana.Bado ni kidogo sana kama utataka kuishi a real decent life!Pia naona ethically una matatizo.Please come back to ground level, maisha yatakuwa na maana zaidi.Life is not about man and money only.
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

hapo red yes ila Mmasai amekuwa wangu pekee yangu kwa muda mrefu ni huyu kisirani wa kusoma america amejanivurugia
nataka mwanaume wa kumdhibiti finencially na kwa maneno

umeshachunguza ni kwanini huyo mmasai anaelekea kukumwaga?

usihangaike kutoa boriti kwa mwenzio, jichunguze kwanza..................
Isije kuta ndo nyie kunako 6x6 mnaleta mapozi na kujishaua tu, lakini kazi hamuiwezi!!!

sidhani kama unampakulia vizuri mtoto wa kiume atakuacha..................thubutuuuuuuuuu

anaebisha aseme hapa.....................

shosti ujue kla shetani na mmbuyu wake hata kama mibuyu ipo mingi lakini kuna mmbuyu specific na Mmasai ananifaa sana sema kaingia uchafu kwa sasa
fight for him kama ni pesa nenda benk kakope? sasa wewe shida yako ni mwanaume au kupendwa/ love?

kwa hiyo pesa,...sidhani kama utampata hata mmoja_maake sijui kama utamudu kumlea kweli kwa hela hiyo,...anyway ngoja tusubiri,...otherwise safari njema
nakuja kuchukua mwanaume wa ushwahiini huko dar, sitaki sharobaro hata kidogo

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

am sorry ma dear but all men r same

nakuja kuchukua mwanaume wa ushwahiini huko dar, sitaki sharobaro hata kidogo

angalia marytina watoto wa uswahilini huku Dar, ni watundu kweli.........
hawachelewi kukuexpress ureself.......................

Back
Top Bottom