zeus
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 213
- 55
mimi ninazo hizo sifa, ila.......
nahitaji gari, unipeleke kwenye senema kila wikiend, unifanyie shoppingi, unipeleke hoteli ya nyota tano,
twende tour mbuga za wanyama, uniwekee dola(vocha) kwenye simu, nataka laptop, simu Ipod smartphone....
na unilipe ada kusoma kingereza na driving na kompyuta course!!! Kipato kitatosha kunilea??
au we ulikuwa unatakaje..?