Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 6,507
- 11,034
Damu ipi wakati kalinda amani 😅😅Dogo unachachawa na njaa...Damu wakati watu wanakufa kila siku...Una tusi jipya ukiondoa Hilo ulilotaja hapo?
Damu za Watu lazima zuwatokee puwani nyinyi, kama si hapa duniani ni huko mbele ya Allah
Mikono yenu inanuka damu za Watu na ndiyo maana hamna Amani tangu muwepo ikulu na hamtapa hiyo Amani maccm nyinyi