Nataka kujua kuhusu update ya michango ya CHADEMA

Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?

Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
WHO ARE YOU! Kwani wewe ndiye mmiliki wa Chadema hata ulazimishe kujua michango ya kampuni yako.
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tunaendelea kuchangia pesa kwa chadema. Na sio kwa CCM ili watumie kuua na kuteka watanganyika.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?

Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Changia update updates
 
Hawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Idiot
 
CHADEMA inawatesa sana. Baadala ya kufuatilia bei ya cement imepanda inahangaika na tone tone ya CHADEMA
 
Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?

Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Ww ulichangia kiasi gani?
 
Haiwezekani , hiko ni chama cha TEC. watoe pesa za sadaka ..Kila kiongozi anaitwa ''john'' so hakinihusu . Mkitutukana watu wa pwani, mnatukana wote mpaka zenji .Hivyo, zenji ni ndugu zetu .
Jizi na lipenda rushwa liko busy kupost bila aibu
 
Haiwezekani , hiko ni chama cha TEC. watoe pesa za sadaka ..Kila kiongozi anaitwa ''john'' so hakinihusu . Mkitutukana watu wa pwani, mnatukana wote mpaka zenji .Hivyo, zenji ni ndugu zetu .
Mkuu kwahiyo unataka kutuambia kile chama pendwa cha kijani ni cha wale jamaa wa mwezi na nyota?

#Hili nalo mkalitizame.
 
Hawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Money laundering🥱🥱🥱
 
Haukuona uharo wa Sambia kiasi Cha kuteketeza mamia za roho za Watangandinga? akihofia Chadema?
 
Kafie mbele huko ,kikubwa kalinda amani ...Nyie wajinga wachache mnaleta vurugu ,sasa angalia nchi ina watu wangapi? nyie chadomo na walioandamana mko wangapi?

Mpumbavu unaleta ushabiki maandazi.
 
Una tusi jipya ukiondoa Hilo ulilotaja hapo?

Damu za Watu lazima zuwatokee puwani nyinyi, kama si hapa duniani ni huko mbele ya Allah

Mikono yenu inanuka damu za Watu na ndiyo maana hamna Amani tangu muwepo ikulu na hamtapa hiyo Amani maccm nyinyi
 
Back
Top Bottom