Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

aaah mimi mwenyewe nilimaliza a/c pale ifm 2006,nikapigika mwaka mzima nikajitosa ualimu nikapiga dip.nikafanya kazi miaka miwili nikajifanya kuacha kazi nipige dili (nilipata advice humu jf) sasa nina miezi 3 mtaji umekata. my take kijana usife moyo
 
kweli Jf ni stress free zone.
Nimecheka badala ya kumhurumia huyo ndugu anaedhani ni mgonjwa zaidi ya wenzie.
Tuko wengi na hatujakata tamaa tunaamini ipo siku.
 
Please dont do it..au ijumaa ishapita tiyari...
Nobody has an easy way in life labda walozaliwa with silver spoons...hii ishu ya kutafta kazi lazma uumie,unless for few who get lucky..
Be a volunteer somewhere as a starting point..
I pray for you,Mungu akufariji,pray often...there is more to life my friend..usife moyo..
 
"No One Knows"
Just the other day, the other day
I was talking to the weather man
About today oh oh oh
And all, all he could say
Was no one knows tomorrow
See I can read the weather child
I can say maybe the rain will fall
The sun will shine oh oh ohh...
But that's as far as my guess goes
Cos no one knows tomorrow
Oh oh ha ha..no one knows tomorrow
Tell me what's the need
To go to war, all the killings
Just to settle some one else's score o
o o
When the victory isn't even sure
No one knows tomorrow
See, we can study history
And philosophy and Plato's ideology
Oh oh ohh...
But tomorrow's still a mystery oh oh
ohh
Cos no one knows tomorrow
Oh oh ha ha..no one knows tomorrow
Tomorrow is your opportunity to fail
Or be successful if you please, yes
indeed
Tomorrow is a politician's today
It's the victim of decisions
And the future of our children
So when I die someday,
Will I be in heavenly places
Singing halleluiah with an angel
On the piano or will I be
Just another contribution
To the earth, the trees, the grasses
As tomorrow slowly passes
No one knows... no one knows

Mkuu ptia kdogo hzo lyrics inwezkna kesho is your day kupta kazi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa

Mkubwa Ijumaa ya pili inapita tangia utoe tamko ebu tupe mrejesho vipi ushapata kazi nini? Mbona haujajinyonga maana Last Activity Inaonyesha Yesterday 22:21
 
aaah mimi mwenyewe nilimaliza a/c pale ifm 2006,nikapigika mwaka mzima nikajitosa ualimu nikapiga dip.nikafanya kazi miaka miwili nikajifanya kuacha kazi nipige dili (nilipata advice humu jf) sasa nina miezi 3 mtaji umekata. my take kijana usife moyo[/QUO
TE]
Hahahahahaha!!!!! Ya kweli ayo ndg ama ndio siasa tu izo?????
 
kama walivyosema kujinyonga nayo ni kazi, wee jipige kamba, me nazani kabla ya kujinyonga ki kwelikweli, igiza kwanza mtafute mtu awe pembeni then mwambie akiona umeanza kujikojolea akate kamba, baada ya hapo upime sasa kama kazi ya kujinyonga unaiweza, then jitundike ukiona unaiweza.
 
mshenzi wewe eheee ukijiua ndo tatizo limeisha? Sasa uoni unatengeneza tatizo lingine hapo, haya ukijaribu kujiua na usipokufa 1, ni kifungo cha 2 yrs alafu kama pia utajaribu kujiua kwa sumu napo ukipona unaweza kuwakilema wa kiungo mfano figo haifanyi kazi sasa uoni unatengeneza tatizo hapo ushauri wangu huu apa: jaribu kumwona cycologist kujiua ni swala la ukosefu wa afya ya akili na huwa inasababishwa na mostly msongo wa mawazo pia inatibika hiyo hali mkuu wahi matibabu kaka. Karibu ukiona umekosa msaada
 
Back
Top Bottom