Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Kwahiyo wewe ulizaliwa kwa ajili ya ajira?

Nenda Ocean Road hospital ukaone wagonjwa wa kansa wanavyofight kuokoa maisha yao ndio utapata ufahamu wa thamani ya afya njema uliyojaliwa.

Ukitoka hapo nenda Milembe ukaone wagonjwa wa akili ndio utaelewa thamani ya kuwa na akili timamu.

Kijana tumia akili zako kumudu maisha yako.
 
Wala usijinyonge Mungu ndiye mpangaji...kuna kijana amemaliza chuo kikuu mwaka uliopita amepata kazi pale crdb hana hata mwezi amekufa juzi kwa ajali...nakukumbusha lipo tumaini kwa walio hai kuliko waliokufa...usikate tamaa bado Mungu anakupenda na hajakusahau.
 
pole sana mwanazuoni. umesoma kozi gani na kiwango chako cha elimu kipo vipi. funguka mkuu unaweza pata msaada humu.
 
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa

Kwanza kupata elimu ya kiwango cha chuo kikuu hamaanishi kwamba ndio unauhakika wa ajira. Pili wanaoishi kwa ndoto kamaunavyo tueleza, kamwe hawafiki popote kimafanikio. Kumbuka, silazima uajiriwe ndipo ujue uthamani wa degree yako. Na ndoto zako zisikudanganye kwamba mafanikio hutoka mbinguni.
Kuhusu kujinyonga, NO COMENT
 
Back
Top Bottom