Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Hahaaa unaskma kozi ya fundi welding afu unasumbua hapa eti hupati kazi...mxxxxi
 
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa

Haujatufahamisha tukio hilo litafanyikia wapi ili tuhudhurie maana siku imefika upo kimya ila asante kwa mwaliko wako
 
ebana eeee! kama masihala jamaaa amejinyonga kweli, mimi nipo jirani na kwao, sasa hivi ndugu wamekutana kujadili mazishi. nitazidi kuwapa feedback.
 
ebana eeee! kama masihala
jamaaa amejinyonga kweli, mimi nipo jirani na kwao, sasa hivi ndugu
wamekutana kujadili mazishi. nitazidi kuwapa feedback.

Mbona jamaa namuona yupo online now
 
muongo huyu nimemtumia sms inbox aje ofisini kwangu nimuajiri kaniuliza lini na sa ngapi
 
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa


Usife moyo nenda kaonane na Kikwete akupe ajira. Kama aliweza kumtafutia Diamond ulaji basi hata wewe anaweza kukutafutia ama kukupa ubunge wa kuteuliwa na yeye.
 
Kuna muda unaweza ugua halafu ukienda hospital utakaowakuta huko na hali zao utajiona kama huumwi tena, hahahaa I love JF
 
kaka leo jumamosi vipi ushakufa , bora tu graduate wapungue nafasi 70 kwa 10000
 
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa

maamuzi yako mazuri, binadamu ili afanikiwe lazima achukue maamuzi magumu kama hayo. ni moja ya maendeleo, kwani umeamua kutengeneza hajira na mgahawa wa siku mbili pale kwenu watoto wa mtaani pia watapata pa kulala.
 
Back
Top Bottom