Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa

...ijumaa sio siku nzuri,jinyonge jmosi tutakuwa na nafasi ya kupanga mazishi yako,maana umekuwa mzigo sana ...
 
Subiri usijinyinge kwanza mkuu ili nikupe 'sembe'kidogo umpelekee msela wangu Ngwea!
 
nimeanza kwa kusikitika baada ya kuona ijumaa nimejikuta nacheka,uko serious kweli?plz dnt do dat,umesomea nini kwani?
 
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa

Hilo ni bora kwann utakuwa umepunguza namba ya wasio na kazi na kuwa nafasi watakaobaki kwa kujitoa mhanga!"
 
aaah mimi mwenyewe nilimaliza a/c pale ifm 2006,nikapigika mwaka mzima nikajitosa ualimu nikapiga dip.nikafanya kazi miaka miwili nikajifanya kuacha kazi nipige dili (nilipata advice humu jf) sasa nina miezi 3 mtaji umekata. my take kijana usife moyo

Pole sana mkuu. Kwahiyo imekuaje kwa sasa?

Hafu kuna watu kazi kuwashauri wenzao wajiajiri wawe wajasiliamali. Nakuambia, sio wote wana "vichwa" vya biashara mkuu. Ndio maana ata mashuleni kuna wanaoenda kusoma science, arts au business na kilimo. Inamaanisha akili zipo tofauti. Ukiforce mambo unaboronga na degree yako.
 
Jinyinge sasa hivi...Mimi Namushukuru Muumba kwa afya njema na familia yenye upendo...nikipata ugali kwa dagaa wangu wadogo na fungu langu la machungwa na Maembe ya bei poa imekaa sawa....Kulala sote tunalala iwe nyumba nzuri sana...afadhali au mbavu za Mbwa iko poa tu "When you sleep you don't see"
 
Pole sana mkuu. Kwahiyo imekuaje kwa sasa?

Hafu kuna watu kazi kuwashauri wenzao wajiajiri wawe wajasiliamali. Nakuambia, sio wote wana "vichwa" vya biashara mkuu. Ndio maana ata mashuleni kuna wanaoenda kusoma science, arts au business na kilimo. Inamaanisha akili zipo tofauti. Ukiforce mambo unaboronga na degree yako.

Umeongea kweli mkuu nilishawahi kuongea hiki kitu kwa uzi flani nikaonekana siyo kabisa ila ukweli ni huo siyo wote wanao tafuta kazi now hawana plan yakuja kujiajiri mbeleni afu pia siyo wote wanauwezo wakujiajiri afu imagine kila mtu akijiajiri waajiliwa watatoka wapi na nchi itaendeshwaje.
 
tumia manila, mkonge unasumbua...halafu ukifika huko ukipata kazi tujulishe...
 
Back
Top Bottom