Kwa sasa nina uhitaji wa kazi yeyote inayohusiana na hata isiyohusiana na nilichosomea kasoro kazi za bar

Diz26

Senior Member
Nov 1, 2023
125
271
Habari zenu mimi mdogo wenu nina miaka 24 nimemaliza degree 2023 Bachelor of Commerce (specialized in Tourism management).

Kwa sasa nina uhitaji wa kazi yeyote inayohusiana na hata isiyohusiana na nilichosomea kasoro kazi za bar .Niko Dar es salaam(Mbagala).

Nawaomba sana hata kama unasehemu unaijua naweza mpeleka vyeti au una duka au kitu chochote naweza kufanya kwa uaminifu niokoeni mdogo wenu jiji gumu hili nisaidieni ili nisidumbukie dimbwi baya.
 
Habari zenu mimi mdogo wenu nina miaka 24 nimemaliza degree 2023 Bachelor of Commerce (specialized in Tourism management).
Kwa sasa nina uhitaji wa kazi yeyote inayohusiana na hata isiyohusiana na nilichosomea kasoro kazi za bar .Niko Dar es salaam(Mbagala). Nawaomba sana hata kama unasehemu unaijua naweza mpeleka vyeti au una duka au kitu chochote naweza kufanya kwa uaminifu niokoeni mdogo wenu jiji gumu hili nisaidieni ili nisidumbukie dimbwi baya.
Njoo Arusha uingie mtaani uanze kazi ya kudili na watalii moja kwa moja usisubiri kuajiriwa formally utasubiri sana na hata mwisho pengine hutapata ajira.
 
Kama huyo kwenye avatar ni wewe , basi nakuhakikishia 100% watakuja wengi kukusaidia na kazi umeshapata

Kila la heri.
 
Hizo mambo ukikaa Arusha , Kilimanjaro na zenji ni vizuri maana ndio dili zilipo hata intership taratibu siku zinaenda.
 
Njoo Arusha uingie mtaani uanze kazi ya kudili na watalii moja kwa moja usisubiri kuajiriwa formally utasubiri sana na hata mwisho pengine hutapata ajira.
Siko competent in tour guide kama ulivyoona hapo course ni Bachelor of Commerce with Tourism management nipo more competent in commerce na kwa tourism najua but naitaji kwanza kujishika sehemu ili niwe vzr zaidi
 
Em hama huko. Huna ndugu mikoa inayo deal na utalii 1 kwa 1?
Kwa sasa nina uhitaji wa kazi yeyote inayohusiana na hata isiyohusiana na nilichosomea kasoro kazi za bar .Niko Dar es salaam(Mbagala
 
Back
Top Bottom