kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
mkuu ijumaa ndo hii hahahahahahah nimeadithia hadi home, usife mkuu ugali mgumu lakin mtamu sana
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa
Weee ndio f...a....l...a...kwelikweli.
Sasa unafikiri utawachemsha jf kwa ubozongo wako huo, utawaweza??!! kachemshe mawe kenge wewe.
Nipm cv yako nione kama ntaweza kukusaidia mbwiga weee..
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa
Aisee na wasi wasi na elimu yako... Embu kalime acha fikra finyo
kulima ndio umeona ni mteremko?!!
Leo si ndio ijumaa? Au
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa