Unaweza kujenga kwa hio hela chamsingi nunua bati 15 za kuezeka alafu tafuta fundi mmoja njaa na ww uwe saidia fundi mkuu laki 5 nyingi hio na material unayo mbona fasta tuu..
KAMA UKISHINDWA
nunua mabati yale reject moja ni elfu 9 nadhani unaweza nunua hata mabati 30 kwa laki 270 alafu nyingine laki 2 na 30 nunua mbao 20 za 2*2 moja inauzwa 3500 kwa elfu 70 then tafuta fundi kwa elfu 50 anakukarabatia kibanda hicho utabakiwa na chenji laki na nusu utaongezea ongezea hapo kitakachopelea
Sent using
Jamii Forums mobile app