kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 454
Kwa makisio ya kujenga kwa tofari moja Tshs. 200 hapa inategemea na project. Kwa kujenga chumba kimoja hapa mafund huwa hafanyi kaz kwa gharama hizo.Mafundi wengi wanajenga tofali moja sh.200 kwahiyo 400 x 200 = 80,000
Hivyo fundi waweza kumpa 120,000 akaanza kukujengea kuanzia msingi hadi kukumalizia chumba kimoja. Kuwa na moyo then epuka matumizi yasiyo na msingi ufikie malengo.
"ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ"
Sent using Jamii Forums mobile app