Lugalo sekondari nini kinaendelea? Tamisemi na wizara ya Elimu mko wapi?

human-hair

Member
Nov 14, 2023
8
14
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi shule hamna utaratibu wa kuzifuatilia? Mh. Raisi mama yetu Samia Suluhu Hassan amekuja na utaratibu wa Elimu bure kwa shule za sekondari, nia na dhumuni ni kuongeza idadi ya watoto wetu kupata elimu bila vikwazo lakini shule ya sekondari lugalo imekua ni kati ya shule zinazokwamisha harakati za muheshimiwa Raisi. Nimeshuhudia ukiritimba ambao sijawahi kuona popote, mfano sasa hivi wana utaratibu mtoto akikosea kosa lolote lile adhabu ni kupeleka trip moja ya matofali ambayo ni 200K hadi 250k lakini bado haitoshi mzqzi ukiomba utaratibu wa kuilipa hiyo pesa unaambiwa upeleke pesa shuleni kwa mkono hawakupi akaunt namba wala utaratibu rasmi wa kulipa.

Bado haitoshi endapo inatokea hauna uwezo wa kulipa pesa basi unaambiwa rudi na mwanao haijali ni mkoa gani unatoka, sawa mmeamua adhabu ni pesa je kwann isipelekwe bank? Kwanini watoto hawapewi adhabu nyinginezo zaidi ya kulipishwa pesa taslimu? Afisa elimu, katibu tawala mko wapi? Waziri tamisemi unayajia haya? Nimelipa 230k sikupewa risiti yoyote zaid ya kuambiwa mwambie mwanao arudi shuleni tena kuna walimu wana majibu machafu sijawahi kuona ndio wanaitwa walimu wa nidhamu, wamediriki kunitamkia kabisa mama hauna hiyo hela mwanao ataishia kuwa mtoto wa mtaani iliniuma sana, hakuna utu hakuna maelewano wao wanachotaka ni fedha mkononi, ukiomba akaunt unaambiwa hiyo pesa sisi tunashida nayo ukipeleka bank inachelewa kutoka.

Serikali inajua kuwa hii shule inatumia pesa taslimu na sio kupitia bank, je hamuoni kama mnaruhusu wanafunzi kubambikiwa makosa ili walete fedh mkononi zikabidhiwe kwa walimu, ukienda kwa mkuu wa shule nae anakuambia moja kwa moja kama hauna pesa ya trip ya tofali basi wewe ondoka na mwanao hawa ndio wakuu wa shule mliowapa dhamana ambao mh Rais anawataka? Nitatoa ushahidi popote, wamekataa kunipa risiti, mwanangu karudi shule kesho hata akiwa na kosa la dogo tu nitaambiwa nipeleke tena 230k.

Nimekutana na mzazi mwenzangu yeye ameambiwa apeleke mifuko 5 ya cement hivi huu ndio utaratibu wa adhabu kwa watoto? Yule mwenzangu ameshindwa kafika getini ameanza kulia, nilifanya kazi ya kumbembeleza mpaka tunafika mjini lakini hadi tunaachana alisema hana cha ziada zaid ya kusali, Tamisemi na wizara ya Elimu chunguzeni hii shule, kuna uchafu mwingi pale haiwezekani mkuu wa shule anakua mjeuri kuliko kauli za mh.Raisi, mimi bado natafuta nafasi ya kufikiaha kero yangu kwa wahusika huu ni
Mwanzo, naamini nitaokoa wazazi wengi nyuma wasio na uwezo, haiwezekani mwalimu tena mtoto ambae sawa na binti yangu anajibu kama sina 230k basi mwanangu akawe kibaka au chokoraa, walimu wana kauli mbovu, hawana UTU, wanafokea wazazi kama sisi mbwa tu.

Unaingia kwa mkuu wa shule nae hana utu kabisa anakujibu kifupi ondoka na mwanao, huyu mkuu wa shule anajua serikali inahubiri nini?

Tamisemi na wizara ya elimu chunguzeni, inawezekana ni biashara inayoanzia kwa mkurugenzi, afisa elimu hadi mkuu wa shule, haiwezekani mkuu wa shule na walimu wake wawe wajeuri kiasi kile lazima kuna uchafu unaendelea na mimi hapa ni mwanzo hii nitapeleka mbele zaidi.

AHSANTE.
 
Duuh hii aibu ya Mkuu wa mkoa na wazazi wote nyie ni mafala, peleka petition Mahakamani msiendekeze huo upumbavu, au fanyeni mpango wa kumteka Mkuu wa Shule vunja miguu yote tupa porini huko

Mkuu pale Iringa mjini shule ile ni boarding school, na o-level ndio kutwa, si wazazi wote tupo mkoani pale, mtoto akirudishwa inatutaka kusafiri kwenda mkoani Iringa tena unakuta kosa lenyewe ni kutoa ingia kwenye kipindi, inasikitisha sana lakini mimi nitafika mbali, haiwezekani mabinti wadogo kama wale wanidharau na wanione mimi kama mzazi nisie na uelewa, wamenijibu kwa dharau hadi unajiuliza wanatoa wapi hiki kiburi, huyo mkuu wa wao shule ndio kabisa hafai.
 
Mwnao anaenda kudanga badala ya kuingia darasani. Human Cha kuwafanya hao mabinti isipokuwa kuwagonga kama una hela
 
Nakubaliana na uwepo wa adhabu mbalimbali ambazo zinawekwa na uongozi sehemu tofauti ikiwemo hii shule, lakini sikubaliani na aina ya adhabu ambazo zimeainishwa hapo juu kwani hazijengi bali zinakomoa na kujenga chuki kayi ya wananchi na serikali

Adhabu za kuleta simenti na mchanga kweli??? Zama hiz???? Au hao wanafunzi walibomoa kuta za shule?? Sidhani,hivyo uongozi ujitathmini pia mfikishe dukuduku lenu kwa afisa wa elimu wilaya or mkoa
 
Ni sahihi kabisa, sikatai mwanangu kupewa adhabu lakini aina ya adhabu wanazotoa imekua ni mradi au biashara shuleni, shule ikianza tabia ya adhabu kuwa pesa kivyovyote watoto watatafutiwa makosa ili wapate pesa, ingekua adhabu ina dhamira njema wangetoa akaunt ya shule wazazi tuweke pesa huko mtoto arudi na payslip shuleni lakini nimeshuhudia wakisisitiza niwape pesa mkononi ushahidi ninao.
 
Yawezekana walimu wana matatizo yao lakini kufundisha watoto wa kizazi cha kidigitari ni kazi ngumu sana, unafundisha mtoto anawaza mziki, ngono, pombe, kubeti aaah! Poleni sana walimu.

Ngoja nirudi sasa kwenye mada yako, kwahiyo wewe kufokewa na walimu ndio imekuuma sana eti mpaka unataka ukawashitaki wizarani?.
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi shule hamna utaratibu wa kuzifuatilia? Mh. Raisi mama yetu Samia Suluhu Hassan amekuja na utaratibu wa Elimu bure kwa shule za sekondari, nia na dhumuni ni kuongeza idadi ya watoto wetu kupata elimu bila vikwazo lakini shule ya sekondari lugalo imekua ni kati ya shule zinazokwamisha harakati za muheshimiwa Raisi. Nimeshuhudia ukiritimba ambao sijawahi kuona popote, mfano sasa hivi wana utaratibu mtoto akikosea kosa lolote lile adhabu ni kupeleka trip moja ya matofali ambayo ni 200K hadi 250k lakini bado haitoshi mzqzi ukiomba utaratibu wa kuilipa hiyo pesa unaambiwa upeleke pesa shuleni kwa mkono hawakupi akaunt namba wala utaratibu rasmi wa kulipa.

Bado haitoshi endapo inatokea hauna uwezo wa kulipa pesa basi unaambiwa rudi na mwanao haijali ni mkoa gani unatoka, sawa mmeamua adhabu ni pesa je kwann isipelekwe bank? Kwanini watoto hawapewi adhabu nyinginezo zaidi ya kulipishwa pesa taslimu? Afisa elimu, katibu tawala mko wapi? Waziri tamisemi unayajia haya? Nimelipa 230k sikupewa risiti yoyote zaid ya kuambiwa mwambie mwanao arudi shuleni tena kuna walimu wana majibu machafu sijawahi kuona ndio wanaitwa walimu wa nidhamu, wamediriki kunitamkia kabisa mama hauna hiyo hela mwanao ataishia kuwa mtoto wa mtaani iliniuma sana, hakuna utu hakuna maelewano wao wanachotaka ni fedha mkononi, ukiomba akaunt unaambiwa hiyo pesa sisi tunashida nayo ukipeleka bank inachelewa kutoka.

Serikali inajua kuwa hii shule inatumia pesa taslimu na sio kupitia bank, je hamuoni kama mnaruhusu wanafunzi kubambikiwa makosa ili walete fedh mkononi zikabidhiwe kwa walimu, ukienda kwa mkuu wa shule nae anakuambia moja kwa moja kama hauna pesa ya trip ya tofali basi wewe ondoka na mwanao hawa ndio wakuu wa shule mliowapa dhamana ambao mh Rais anawataka? Nitatoa ushahidi popote, wamekataa kunipa risiti, mwanangu karudi shule kesho hata akiwa na kosa la dogo tu nitaambiwa nipeleke tena 230k.

Nimekutana na mzazi mwenzangu yeye ameambiwa apeleke mifuko 5 ya cement hivi huu ndio utaratibu wa adhabu kwa watoto? Yule mwenzangu ameshindwa kafika getini ameanza kulia, nilifanya kazi ya kumbembeleza mpaka tunafika mjini lakini hadi tunaachana alisema hana cha ziada zaid ya kusali, Tamisemi na wizara ya Elimu chunguzeni hii shule, kuna uchafu mwingi pale haiwezekani mkuu wa shule anakua mjeuri kuliko kauli za mh.Raisi, mimi bado natafuta nafasi ya kufikiaha kero yangu kwa wahusika huu ni
Mwanzo, naamini nitaokoa wazazi wengi nyuma wasio na uwezo, haiwezekani mwalimu tena mtoto ambae sawa na binti yangu anajibu kama sina 230k basi mwanangu akawe kibaka au chokoraa, walimu wana kauli mbovu, hawana UTU, wanafokea wazazi kama sisi mbwa tu.

Unaingia kwa mkuu wa shule nae hana utu kabisa anakujibu kifupi ondoka na mwanao, huyu mkuu wa shule anajua serikali inahubiri nini?

Tamisemi na wizara ya elimu chunguzeni, inawezekana ni biashara inayoanzia kwa mkurugenzi, afisa elimu hadi mkuu wa shule, haiwezekani mkuu wa shule na walimu wake wawe wajeuri kiasi kile lazima kuna uchafu unaendelea na mimi hapa ni mwanzo hii nitapeleka mbele zaidi.

AHSANTE.
 
Sisi wananchi tumesema tunataka serikali za majimbo kuondoa huo ushetwani kila kitu RAIS RAIS RAIS yaani mtu wa ukerewe tusubiri Rais
 
Kwa hiyo ukiweka hiyo 230k bank ww binafsi unakua umepata faida gani...

Mchakato wa fedha kwenye akaunt ya serikali upo wazi, ni rahisi kujua matumizi kuliko kumpa cash mwalimu na haupewi risit tunaamini vipi kuwa pesa imeenda shulen?
 
Mkuu pale Iringa mjini shule ile ni boarding school, na o-level ndio kutwa, si wazazi wote tupo mkoani pale, mtoto akirudishwa inatutaka kusafiri kwenda mkoani Iringa tena unakuta kosa lenyewe ni kutoa ingia kwenye kipindi, inasikitisha sana lakini mimi nitafika mbali, haiwezekani mabinti wadogo kama wale wanidharau na wanione mimi kama mzazi nisie na uelewa, wamenijibu kwa dharau hadi unajiuliza wanatoa wapi hiki kiburi, huyo mkuu wa wao shule ndio kabisa hafai.
Wakike au wakiume ?
 
Mchakato wa fedha kwenye akaunt ya serikali upo wazi, ni rahisi kujua matumizi kuliko kumpa cash mwalimu na haupewi risit tunaamini vipi kuwa pesa imeenda shulen?
Hawana akaunti ya fedha za adhabu hizo zinaenda moja kwa moja kwenye miradi ya maendeleo shule.Cha msingi tuwasisitize watoto wafuate sheria za shule.Ila hii adhabu safi sana inapiga pale pale penye mshono.
 
Mfano alitoroka kwa kuruka ukuta ina maana ukuta unatakiwa uongezwe pale alipotukia adhabu apeleke tofali.na simenti.

Adhabu za viboko zilishafutwa mashuleni hizo ndio adhabu stahiki

Wanafunzi watii sheria bila shuruti ona sasa mzazi anahaha
 
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi shule hamna utaratibu wa kuzifuatilia? Mh. Raisi mama yetu Samia Suluhu Hassan amekuja na utaratibu wa Elimu bure kwa shule za sekondari, nia na dhumuni ni kuongeza idadi ya watoto wetu kupata elimu bila vikwazo lakini shule ya sekondari lugalo imekua ni kati ya shule zinazokwamisha harakati za muheshimiwa Raisi. Nimeshuhudia ukiritimba ambao sijawahi kuona popote, mfano sasa hivi wana utaratibu mtoto akikosea kosa lolote lile adhabu ni kupeleka trip moja ya matofali ambayo ni 200K hadi 250k lakini bado haitoshi mzqzi ukiomba utaratibu wa kuilipa hiyo pesa unaambiwa upeleke pesa shuleni kwa mkono hawakupi akaunt namba wala utaratibu rasmi wa kulipa.

Bado haitoshi endapo inatokea hauna uwezo wa kulipa pesa basi unaambiwa rudi na mwanao haijali ni mkoa gani unatoka, sawa mmeamua adhabu ni pesa je kwann isipelekwe bank? Kwanini watoto hawapewi adhabu nyinginezo zaidi ya kulipishwa pesa taslimu? Afisa elimu, katibu tawala mko wapi? Waziri tamisemi unayajia haya? Nimelipa 230k sikupewa risiti yoyote zaid ya kuambiwa mwambie mwanao arudi shuleni tena kuna walimu wana majibu machafu sijawahi kuona ndio wanaitwa walimu wa nidhamu, wamediriki kunitamkia kabisa mama hauna hiyo hela mwanao ataishia kuwa mtoto wa mtaani iliniuma sana, hakuna utu hakuna maelewano wao wanachotaka ni fedha mkononi, ukiomba akaunt unaambiwa hiyo pesa sisi tunashida nayo ukipeleka bank inachelewa kutoka.

Serikali inajua kuwa hii shule inatumia pesa taslimu na sio kupitia bank, je hamuoni kama mnaruhusu wanafunzi kubambikiwa makosa ili walete fedh mkononi zikabidhiwe kwa walimu, ukienda kwa mkuu wa shule nae anakuambia moja kwa moja kama hauna pesa ya trip ya tofali basi wewe ondoka na mwanao hawa ndio wakuu wa shule mliowapa dhamana ambao mh Rais anawataka? Nitatoa ushahidi popote, wamekataa kunipa risiti, mwanangu karudi shule kesho hata akiwa na kosa la dogo tu nitaambiwa nipeleke tena 230k.

Nimekutana na mzazi mwenzangu yeye ameambiwa apeleke mifuko 5 ya cement hivi huu ndio utaratibu wa adhabu kwa watoto? Yule mwenzangu ameshindwa kafika getini ameanza kulia, nilifanya kazi ya kumbembeleza mpaka tunafika mjini lakini hadi tunaachana alisema hana cha ziada zaid ya kusali, Tamisemi na wizara ya Elimu chunguzeni hii shule, kuna uchafu mwingi pale haiwezekani mkuu wa shule anakua mjeuri kuliko kauli za mh.Raisi, mimi bado natafuta nafasi ya kufikiaha kero yangu kwa wahusika huu ni
Mwanzo, naamini nitaokoa wazazi wengi nyuma wasio na uwezo, haiwezekani mwalimu tena mtoto ambae sawa na binti yangu anajibu kama sina 230k basi mwanangu akawe kibaka au chokoraa, walimu wana kauli mbovu, hawana UTU, wanafokea wazazi kama sisi mbwa tu.

Unaingia kwa mkuu wa shule nae hana utu kabisa anakujibu kifupi ondoka na mwanao, huyu mkuu wa shule anajua serikali inahubiri nini?

Tamisemi na wizara ya elimu chunguzeni, inawezekana ni biashara inayoanzia kwa mkurugenzi, afisa elimu hadi mkuu wa shule, haiwezekani mkuu wa shule na walimu wake wawe wajeuri kiasi kile lazima kuna uchafu unaendelea na mimi hapa ni mwanzo hii nitapeleka mbele zaidi.

AHSANTE.
Pole sana .
Upole wa watanzania ndiyo mtaji wa wenye madaraka
 
Back
Top Bottom