chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,065
- 3,147
Je vifaa vyake vina gharimu shngapi kimoja baada ya kingine
Je siku ya kwanza nikaange kiasi gani
Nataka niwe nakaanga mwenyewe mwanzoni lakini uzoefu ni 0 je nitaanzaje kwa namna hii ?
Je siku ya kwanza nikaange kiasi gani
Nataka niwe nakaanga mwenyewe mwanzoni lakini uzoefu ni 0 je nitaanzaje kwa namna hii ?