JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,482
- 2,584
Wakuu kwema mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza nyama. Nilikuwa na uhitaji kama ifuatavyi
1.Kujua mtaji kiasi gani, vitu vinavyohitajika bucha la mtaan uswahilini sio la kisasa.
2. Mtu mwenye eneo lenye vifaa vinavyohitajika vya bucha anikodishie niwe namlipa kwa siku
3. Mtu anayefanya biashara hii afungue mtaan kwetu maana hakuna bucha kabisa kisha mmi nisimamie.
NB MTAJI WANGU NI 1M