Hamjambo?
Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata
Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata...
Habari za muda wana jf
Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe.
Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa maana chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaujua vizurii wanielekezee hii biashara INALIPA kwa hapa. 2...
Habari za muda wana JF,
Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe.
Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
Naomba wakongwe wa biashara ya chips DSM wanisaidie kijana wao, vp nnaweza kuianza kwa mtaji wa sh ngap yaani kwenye kutafuta vitu vifuatavyo, pia wanisaidie ushaur kama biashara hii inafaa au
1.Kununua kabati la alminium kwaajili ya kuwekea chips na mishikaki na kachumbar
2. kutafuta eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.