Mpambanaji007
New Member
- Sep 4, 2015
- 2
- 0
FAHAMU MTAJI WA KUANZIA NA FURSA ILIYOPO KWENYE BIASHARA HII!
Je, umewahi kuona watu wakivuta Shisha kwenye Bar, Club, Beach au Restaurant, ukajiuliza biashara hii inafanyikaje na inahitaji mtaji kiasi gani?
Leo nakupa mchanganuo wa vifaa, gharama za kuanzia na makadirio ya mauzo ili uweze kuelewa biashara hii vizuri.
📊 HEBU TUANGALIE NAMNA BIASHARA INAVYOFANYA KAZI
Bei ya huduma ya Shisha (Session) kwenye maeneo mbalimbali inaanzia TSh 10,000 na inaweza kufika hadi TSh 50,000 kwa kichwa kimoja cha fleva.
Sasa hebu tufanye hesabu!
✅ Bei ya Fleva 1KG ni TSh 85,000.
✅ Kilo moja inaweza kutoa takribani vichwa 70 hadi 90, kutegemea kiasi kinachotumika kwa kila kichwa.
✅ Ukiuza kila Session kwa TSh 10,000:
Hayo ni makadirio ya mauzo ghafi kwa kilo moja ya fleva, kabla ya kutoa gharama za uendeshaji.
SASA UNAHITAJI MTAJI KIASI GANI KUANZA?
SHISHA BUSINESS STARTUP PACK
1. Mitungi 3 ya Shisha — TSh 80,000 × 3 = 240,000
2. Fleva 1KG — 85,000
3. Filters / Mouthpieces — 5,000
4. Mkaa Special wa Shisha — 15,000
5. Jiko la Umeme la Kukolezea Mkaa — 40,000
6. Aluminium Foil — 12,000
JUMLA YA VIFAA: TSh 397,000
Huu ni mchanganuo wa vifaa vya kuanzia. Gharama nyingine za uendeshaji wa biashara hazijajumuishwa.
USHAURI WA BIASHARA
Unaweza kuanza kwa kutafuta eneo lenye wateja, kama Bar, Club, Beach au Restaurant, kisha kupanga namna ya kutoa huduma zako za Shisha.
Jambo muhimu ni kuelewa gharama zako, bei ya Session na idadi ya wateja unaoweza kuwahudumia.
📢 UNAHITAJI VIFAA HIVI?
Usihangaike kutafuta kila kifaa sehemu tofauti!
AHOSEKI SHISHA SUPPLY tunapatikana na kukupatia vifaa vyote vilivyotajwa kwenye mchanganuo huu.
🔥 WASILIANA NASI UPATE BEI YA OFFER!
📞 PIGA SIMU / WHATSAPP: +255 654 616 600
📍 TUNAPATIKANA:
🚚 WATEJA WA MIKOANI: Tunatuma mizigo mikoani kwa uaminifu mkubwa.
📲 TUMA UJUMBE WHATSAPP SASA UPATE MAELEZO YA VIFAA NA BEI!
AHOSEKI SHISHA SUPPLY
Vifaa vya Shisha kwa wanaoanza na wanaoendesha biashara.

- Vichwa 70 × 10,000 = TSh 700,000
- Vichwa 90 × 10,000 = TSh 900,000

- Dar es Salaam — Mbagala na Kinondoni
- Geita — Kanda ya Ziwa