Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮