...Why ghafla Cold feet, mkuu? Utakuwa umemtia Nuksi binti ya Watu na humtendei Haki!Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa.
Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu
Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa
Mchumba anajua....?
SawaUngemwambia tu SAWA.
😁😁Beba panga jifanye umechanganyikiwa nendaa ukweni kama kuna gari katakata matairi au kama kuna mifugoo piga panga mbuzi mmoja....utapiigwa lifetime ban kwenye hiyo familiaa
Uchagani inafanya kazi mkuu..mimi nilikua na hamu ya mbuzi wazee wakawa wanabana,nikabeba panga nikakata migomba kama 10 hivi kesho yake nikachinjiwa mbuziii kuniondolea mikosi
Bora umuambie mapema hivi.Umeshawahi kurogwa mkuu?
Shauri yako
Sema umekuwa khanithi..utafunga ndoa pale ambapo tatizo hilo litaisha.
khaaaaaahNdo maana ongezeko la waokota makopo linazidi, ndoa zenyewe za kulenga kwa manati saivi uniambie huoi? Mwenzio anataka kuitwa mrs flani ayayajajajayayaaaaa nakwambia jina lako lingebadilika.
yaan wee mawazo yako daaahWaambie ndugu na jamaa na huyo mkeo mtarajiwa kua umekua shoga unataka uolewe na kwamba huhitaji mwanamke tena bali unataka mwanaume wa kukuoa.
Kila ukimuona huyo mchumba kichaa kinapanda....atajiongeza mwenyewe
Uchagani inafanya kazi mkuu..mimi nilikua na hamu ya mbuzi wazee wakawa wanabana,nikabeba panga nikakata migomba kama 10 hivi kesho yake nikachinjiwa mbuziii kuniondolea mikosi
Izo aibu nazieka wapi kwa mfano, kama ameshakuja home, au labda iyo ndoa binti ndo alikuwa na shida nayo akajikuta amempa adi mwanaume ela ya mahari, lakini kama mwanaume mwenyewe ameamua na akili zake timamu akaenda kwa wazazi wa binti, akaandaa mahari akapeleka, afu aahirishe ghafla duh kuna la kujiuliza....khaaaaaah
Sala saana mzee wanaume wengi walio makaburini na magerezani ni sababu ya wanawake/ndoaWadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu
Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa