Nataka kuacha kazi .

Ushauri murua kabisa!
 

Ndugu yangu tupo wengi ambao tunawaza kuacha kazi kwenye utumishi wa umma, yaani bora hata turudi kijijini tukaanze maisha upya.Siyo kwa kupigika huku, halafu ukute upo kundi kubwa la wategemezi.Toka awamu ya tano imeingia Mtumishi wa Umma amekuwa na Maisha magumu sana.Biashara nazo haziendi kabisa Kodi,Ushuru n.k Mimi nimefunga kabiashara kutokana na hayo mambo kwa sasa na plan ku resign utumishi wa umma.
 
Pole sana mama. Tafadhali acha mawazo ya kujiua na night business. Jitahidi ulee watoto wako. Usishindane na mtu yeyote katika maisha. Ishi maisha yako mwenyewe. Peleka watoto shule za kawaida. Wengi unaowaona maofisi katika nafasi kubwa kubwa, wamesoma katika shule za kawaida. Somesha watoto wako. Watafanikiwa. Na hapo ndio huyo baba yao ndipo atajitokeza na atajuta kama hao wengine.
 
Mpuuze huyo, kama umeshindwa kumpuuza ingia kwenye profile yake kisha bonyeza kitufe cha ignore utakua hauoni comments zake hata aki comment
Usihangaike sana na watu wenye negative energy kama hao, ndio watakaokusababishia kujiua
 
Pole sana Dada

MM nakushauri kwanza mtafute mzazi mwenzio reconcile nae then majuku ya watoto yabaki kwa Baba,,,Mwanaume ukiwa na mtoto hela utapata tu mungu alitujalia hicho,,
MM pia niliachana na mazazi mwenzangu alicho kifanya alienda shule akamuhamisha shule na jina akabadili akampa majina ya kiislam mm nilienda dawatini ila hawakunisaidia roho iliuma sana ila baadae nikapata watoto wawili nikaacha kuhanagaika mwaka 2018 alipoona nipo kimya alininpigia mwenyewe tukazungumza tukayamaliza na mtoto mpaka sasa yupo kwake ila namsomesha mm na kila nampa,,niligundua kumbe alifukuzwa kazi..
Nakushauri mrudie mzazi mwenzio
 
Pole saana ila la kujiua siku support kabisa Futa iyooo watoto wako watapata tabu saaNa utawatengenezea mazingira magumu mnoooook
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba kila awamu kuna wanaoneemeka na kuna wanaopigika. Kwa hiyo don't generalize. Ukiamua kuacha kazi kwenye utumishi wa umma make sure una plan B inayoeleweka ya nini cha kufanya otherwise utajuta. Kama utaamua kurudi kijijini kulima ukumbuke utakaa zaidi ya nusu mwaka ndipo utaanza kupata kipato kinachotokana na kuuza mazao ya kilimo. But ukumbuke kwamba kabla ya hapo utakuwa ni wa kutoa pesa (kuwekeza) ili hatimaye uvune.
Hapa napata somo kwamba ukiwa umeajiriwa ni lazima kujipanga ili baada ya hiyo ajira uendelee na maisha pasipo kuadhirika. Wakati wa ajira si wakati wa kula bata. Ni lazima tujifunze kwa wanayopitia wengine maana hatujui ya Kesho. Wahenga walisema ''mwenzio akinyolewa, wewe tia maji''!
 
Kampuni ni ya ishu nilosomea na nimeajiriwa nazo ktk fani hiyohiyo
Umeshawahi kufanya biashara yoyote? Kama bado, consider kuanza na a small business kwenye kile dream vision yako. You will expand into other areas as you go.
 
Kulima unaweza kuwekeza hiyo nusu mwaka halafu yakapigwa na jua au mafuriko ukala hasara...Au yanaweza kutoka tu vizuri sokoni ukakosa bei,
Yaani kilimo sio cha kuingia hivi hivi
 
Mzee unafanga biashara gani? Mi napiga kazi naingiza hela nyingi kwa mwezi sometimes hadi milioni 5 hivi inafika, ila kazi yenyewe haina guarantee ya miaka 2 mbele
Nipe maujanja nikawekeze wapi mkuu
 
Omba uhamisho njoo huku Kisarawe uzaramoni Maisha hayana stress kabisa hata Kama Mzee baba hatoongeza mpaka anasepa.
 
Hivi mtu unamaliza shule unaenda kuajiriwa na SERIKALI?

Hakuna majitu dhalimu na system dhalimu dunia hii kama kitu kinachoitwa SERIKALI!

Ni dude linaloendeshwa kwa matakwa ya wanasiasa!

It is a murder engine!
Tupe akili ya kujiajiri[emoji134][emoji134]
 
Usiache kazi,ila anzisha na biashara nyingine ambayo ita boost kipato chako.
 
Geita fursa gani mkuu
nipe hint maana hali tete
 
Dada Watotee wanao Shule za private pekeka za serikali na wakazanie tuition na uweunafanyia follow up, tengeneza uchumi utawatafutia shule nzuri wakiwa Secondary, Panga Nyumba kodi ndogo iliyo karibu na kazini, ishi maisha kulingana na kipato chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…