Nataka kuacha kazi .

Nataka kuacha kazi .

kitu pekee nachoweza kukushauri ni kwamba usikate tamaa, suala la kuacha kazi sikushauri endapo huna msingi wowote uliojiwekea kwa ajili ya kuacha kazi.

1.nyumba haijaisha
2.Watoto wanasoma
3.Kodi ya nyumba inakusumbua
4.mahitaji yanasumbua

hivyo vyote utaweza kuvimudu ukiacha kazi? ambapo hata hiyo laki mbili itakuwa si ya uhakika kuipata...usiache kazi.
Ushauri murua kabisa!
 
Habari za asubuhi wana jukwaa.

Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.

Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.

Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.

Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.

Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.

Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.

Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.

Ndugu yangu tupo wengi ambao tunawaza kuacha kazi kwenye utumishi wa umma, yaani bora hata turudi kijijini tukaanze maisha upya.Siyo kwa kupigika huku, halafu ukute upo kundi kubwa la wategemezi.Toka awamu ya tano imeingia Mtumishi wa Umma amekuwa na Maisha magumu sana.Biashara nazo haziendi kabisa Kodi,Ushuru n.k Mimi nimefunga kabiashara kutokana na hayo mambo kwa sasa na plan ku resign utumishi wa umma.
 
Pole sana mama. Tafadhali acha mawazo ya kujiua na night business. Jitahidi ulee watoto wako. Usishindane na mtu yeyote katika maisha. Ishi maisha yako mwenyewe. Peleka watoto shule za kawaida. Wengi unaowaona maofisi katika nafasi kubwa kubwa, wamesoma katika shule za kawaida. Somesha watoto wako. Watafanikiwa. Na hapo ndio huyo baba yao ndipo atajitokeza na atajuta kama hao wengine.
Habari za asubuhi wana jukwaa.

Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.

Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.

Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.

Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.

Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.

Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.

Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto nin Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshigeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
 
Sawa nimekubali but mbona umekomalia thread yangu?hakuna thread zingine ukoment?
Isitoshe sijataka univumilie wala sijafungua thread ya mwanaume kunivumilia
Kama nakukera tafuta nyuzi zingine hate msiba wa Mzee Mengi ukachangie,huyu mbishi mwache huwezi mfanya utakavyo wewe kwani yeye ni raia huru mwenye Uhuru wa kufungua uzi humu muhimu tu asivunje kanuni
Mpuuze huyo, kama umeshindwa kumpuuza ingia kwenye profile yake kisha bonyeza kitufe cha ignore utakua hauoni comments zake hata aki comment
Usihangaike sana na watu wenye negative energy kama hao, ndio watakaokusababishia kujiua
 
Habari za asubuhi wana jukwaa.

Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.

Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.

Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.

Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.

Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.

Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.

Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Pole sana Dada

MM nakushauri kwanza mtafute mzazi mwenzio reconcile nae then majuku ya watoto yabaki kwa Baba,,,Mwanaume ukiwa na mtoto hela utapata tu mungu alitujalia hicho,,
MM pia niliachana na mazazi mwenzangu alicho kifanya alienda shule akamuhamisha shule na jina akabadili akampa majina ya kiislam mm nilienda dawatini ila hawakunisaidia roho iliuma sana ila baadae nikapata watoto wawili nikaacha kuhanagaika mwaka 2018 alipoona nipo kimya alininpigia mwenyewe tukazungumza tukayamaliza na mtoto mpaka sasa yupo kwake ila namsomesha mm na kila nampa,,niligundua kumbe alifukuzwa kazi..
Nakushauri mrudie mzazi mwenzio
 
Pole saana ila la kujiua siku support kabisa Futa iyooo watoto wako watapata tabu saaNa utawatengenezea mazingira magumu mnoooook
 
Ndugu yangu tupo wengi ambao tunawaza kuacha kazi kwenye utumishi wa umma, yaani bora hata turudi kijijini tukaanze maisha upya.Siyo kwa kupigika huku, halafu ukute upo kundi kubwa la wategemezi.Toka awamu ya tano imeingia Mtumishi wa Umma amekuwa na Maisha magumu sana.Biashara nazo haziendi kabisa Kodi,Ushuru n.k Mimi nimefunga kabiashara kutokana na hayo mambo kwa sasa na plan ku resign utumishi wa umma.
Kwa uzoefu wangu ni kwamba kila awamu kuna wanaoneemeka na kuna wanaopigika. Kwa hiyo don't generalize. Ukiamua kuacha kazi kwenye utumishi wa umma make sure una plan B inayoeleweka ya nini cha kufanya otherwise utajuta. Kama utaamua kurudi kijijini kulima ukumbuke utakaa zaidi ya nusu mwaka ndipo utaanza kupata kipato kinachotokana na kuuza mazao ya kilimo. But ukumbuke kwamba kabla ya hapo utakuwa ni wa kutoa pesa (kuwekeza) ili hatimaye uvune.
Hapa napata somo kwamba ukiwa umeajiriwa ni lazima kujipanga ili baada ya hiyo ajira uendelee na maisha pasipo kuadhirika. Wakati wa ajira si wakati wa kula bata. Ni lazima tujifunze kwa wanayopitia wengine maana hatujui ya Kesho. Wahenga walisema ''mwenzio akinyolewa, wewe tia maji''!
 
Kulima unaweza kuwekeza hiyo nusu mwaka halafu yakapigwa na jua au mafuriko ukala hasara...Au yanaweza kutoka tu vizuri sokoni ukakosa bei,
Yaani kilimo sio cha kuingia hivi hivi
 
Kuna makosa ulifanya maishani na ndio wanayofanya wengi wetu.

1. Ulichukua mkopo ukaweka kwenye liability. Wapo watu watasema hapa nyumba na viwanja ni asset. Ila niamini mimi vyote ulivyonavyo kwasasa ni liability maana havikuingizii chochote na vimebaki kuwa mzigo kwako kwakuwa havijakusaidia hata kutoka katika situation unayolia nayo sasa.

Sasa unataka kuacha kazi kwasababu unapokea 20k ambayo haitoshi, unakoenda unaweza tengeneza zaidi ya laki 2 kila mwezi ukaishi? Au ndio itakulazimu kwenda kwenye night busines?

Be serious mie mwenyewe nimekuwa mtumishi wa serikali na baada ya bodi nilikuwa nabaki na 180k. Na ni mwanaume, nionge, nile, nilipe kodi niendeshe maisha ya kila siku pamoja na ndugu. Sikukaa tamaa, nilifanya mpk biashara ambazo degree yangu ilibdi ifichwe uvunguni.

Mkopo niliokuwa nimechukua ulikufa siku moja, mwezi mmoja baada ya kuuwekeza, can u imagine the situation nilikuwa nayo?

Sikutaka kuacha kazi katika kipind hiko, lakin nia ilikuwa siku moja naacha kuwa mwajiriwa. Na nilianza kazi mwaka mmoja na wewe 2013. I tell u ndoto ilitimia. Tangu mwaka huu uanze Rasmi sipo kazini. Nafanya maisha yangu na kipato changu kwa wiki ni zaidi ya hiyo pesa niliokuwa napewa kwa mwezi. Na nnasonga.

Hivyo, usiache kazi ila tafta kitakachokuwa nguzo ukiacha kazi.

2. Umesema upo dar, hivi kweli dar unakosa kazi ya ziada ya kuzalisha cha ziada. Nawashangaaga sana wakazi wa mji huu. Mimi nikiingiaga hapa nafanya kazi napata pesa mpk najishangaa. Maana kila kitu dar ni fursa hata kuuza tu utumbo wa kuku

Unafeli wapi sasa?

3. Kwakuwa una liability zisizozalisha, zigeuze kuwa asset. Liability zako zote zinaweza geuzwa kuwa asset, unafeli wapi?

Unasema unaanzisha sasa kampuni, duuh nimejiuliza na sijui upo hapa ku joke? Yan huna ela, then uanzishe kampuni unaanzisha na nini? Kampuni zitalipiwa kodi, utalipa na nini? Napata picha ya kuona unapenda mambo makuu kabla ya kumaliza madogo, na unafanya mambo bila hesabu nyingi thats y una viwanja viwili na pagale na bado ulipanga kuuza kiwanja umalizie pagale lako. Hatari kabisa hii.

Jaribu kubadili watu wanaokushauri. Ama jinsinunavyojishauri think clear always.

Mwisho nikutakie kila la heri. Katika ushauri wangu fanyia kazi dots nilizoweka, najua nnachoongea na nmekuwa mtumishi na mwenye mshahara wenye makato na bank, na bodi, tena niliepitia majanga makubwa. Lakini nimepenya.

Kila la heri.
Mzee unafanga biashara gani? Mi napiga kazi naingiza hela nyingi kwa mwezi sometimes hadi milioni 5 hivi inafika, ila kazi yenyewe haina guarantee ya miaka 2 mbele
Nipe maujanja nikawekeze wapi mkuu
 
Omba uhamisho njoo huku Kisarawe uzaramoni Maisha hayana stress kabisa hata Kama Mzee baba hatoongeza mpaka anasepa.
 
Hivi mtu unamaliza shule unaenda kuajiriwa na SERIKALI?

Hakuna majitu dhalimu na system dhalimu dunia hii kama kitu kinachoitwa SERIKALI!

Ni dude linaloendeshwa kwa matakwa ya wanasiasa!

It is a murder engine!
Tupe akili ya kujiajiri
 
Habari za asubuhi wana jukwaa.

Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.

Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.

Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.

Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.

Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.

Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.

Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Usiache kazi,ila anzisha na biashara nyingine ambayo ita boost kipato chako.
 
Mamii...nakuelewa sana...tena mno..hivi mm hapa niko kwenye mchakato wa kumshauri Mr ateme kazi ..mmepishana kidogo sana...yaan mm alifika kipindi akawa anakopa CRDB ile akipata mshahara wanafyeka chao then anakopa tena ya mwezi...🤗🤗🤗

Acha woga...hapo shoga utapiga marktime za kufa mtu..hebu ufuate ushauri wa@Khan..!tena bora ww..kamaliza Msc 2012 ila mpk leo hajaanza kulipwa..alafu alivyo ccm damu..ahhaa may mosi akaniambia dogo mie nahamia ACT😂😂..niongoze sala ya toba..jaman maisha ya wafanyakazi wa serikalin ni magumu mno mno nyie jaman...Kama unaweza njoo machimboni tupige hela😍😍😍!nw mtumishi wa serikali ukimtumia laki 1 Anakushukuru Mwezi mzima😂😂💎💎💎💍🔥🔥🔥!
Kuna mikoa mingne nuksi tu kuishi..hela inapatikana kwa mbinde sana . hama huko njoo geita my dear jipe 8mths..tutakuita boss mama😍😍 (weka hela pata mapesa)

na kama utahitaj kushikwa mikono nipo hapa..pole!
Geita fursa gani mkuu
nipe hint maana hali tete
 
Anaye wanae naye so hawawezi pata huduma Kama wazipatazo kwangu,isitoshe kama hakuwahi wahudumia chochote wakati tukiwa pamoja tena wakiwa wawil tu wadhan saivi ndio atawahudumia na ilhal anao wengine huko kwenye ndoa yake?
Na kuna sababu gani ya msingi wanangu walelewe na mtu baki ilhal mie nipo?
Dada Watotee wanao Shule za private pekeka za serikali na wakazanie tuition na uweunafanyia follow up, tengeneza uchumi utawatafutia shule nzuri wakiwa Secondary, Panga Nyumba kodi ndogo iliyo karibu na kazini, ishi maisha kulingana na kipato chako
 
Back
Top Bottom