Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,802
Bachelor of PhysicsA
Amesoma nini
Bachelor of PhysicsA
Amesoma nini
Hahaa umeona sasaHahahaha
Ni kweli mkuu, kampuni yetu wengine tunawaza kuchomoka lakini kuna watu wanahisi tunafaidi sana na wanaleta cv kila siku
Kama hiyo nyumba ipo hapahapa mjini, hao walezi labda wangekupatia chumba hapo ukawa unaishi hapo ukaokoa hela ya kodi.Sina Kijiji cha kupeleka wanangu kwani walonilea walishafariki
Walobak wote wananiangalia mie ambao ndo warithi wa walezi wangu,nyumba nzima walishapangisha hata chumba nilichokuwa naishi mimi walishapangisha
Wamebak watoto za walez wangu marehemu na ndio warithi ,wakagawana vyumba na kuvipangisha vyote wanapokea Kodi Kila mmoja,mie nililelewa tu pale baada ya wazaz wangu kufariki.
Uoe singo parent mwenye watoto wawili wa mwanaume mwingine?!!!Hayo ni mapito tu,Maisha yetu yalivyo ni kama uonavyo season za vipindi vya majira katika mandhari zetu kama kuna kipindi cha joto,Masika,vumilia maisha ndivyo yalivyo,Na pia kama unauwezo jaribu kutafuta mume uolewe huenda mawazo yakakupungikia
Mbona unaoa tu,tena mke wa dizain iyo anakuwa na upendo zaidi kwakwo,Uoe singo parent mwenye watoto wawili wa mwanaume mwingine?!!!
Viko sehemu gani mkuu,hata mimi nahitaji.Tuwasiliane pmWateja hakuna kila unayemgusa hana hela,nishatumia hadi madalali,na viko sehemu nzuri tu
Hiii Chukua kwa Mikono Miwiliusiache kazi, utadhalilika zaidi nashauri uendelee na kaihuku ukitengeneza namna nyingine kama kujiajiri nk ni ngumu sana kupata kazi ya serikali, kazi za watu binafsi watu wanadhalilika zaidi kuliko za serikali

pole sana mkuu, hali si shwari biashara zinayumba sanaNapataga chakula cha mchana; kwa uzoefu wangu ndani ya wiki moja nimelishwa viporo hotel nne tofauti; nakula leo nagundua ni kiporo nahamie ingine nalishwa kipo hadi sasa nakula nyama choma au nashindia karanga. Hali si hali na afya yangu hainiruhusu kila chips ambazo kwa kiasi fulani ni fresh kuliko vyakula vya kwenye sufuria
Kitu cha kwanza somesha watoto shule za kawaida mpk mambo yatakapokaa sawa,ishi nyumba ya bei nafuu na nunua vyakula vya jumla.Pia kula ili uishi,acha kula kwa anasa yaani vile unavyovipenda/kuvitamani.Kwenye hiyo 220k,toa 100k Kila mwezi ya ada za watoto,inabaki,120k,hujanunua chakula,maji na matumizi mengineyo ya nyumbani,hapo hakuna hata nguo mpya kumbuka
Jamaa nilishamtoa akilini manake nilimsihi Sana anisaidie,akawa anasema atatuma ila akawa hatoi,so nikaacha kumwomba
Hali ni ngumu sana,bado Kodi ya nyumba,inakatisha tamaa kwakwel

Hii Ndiyo Hali Halisi ya Watumishi wa SasaHabari za asubuhi wana jukwaa.
Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.
Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.
Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.
Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.
Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Jiongeze. Tafuta sehemu jion upike vi-bites, au choma mahindi, au anzisha genge la kichaga, au omba uhamisho uende karibu na kwenu, au omba uhamisho uende sehemu ambayo utafanya shughuri za kilimo.Habari za asubuhi wana jukwaa.
Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.
Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.
Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.
Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.
Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Kwani muda ambao huwa upo kazini unafanyaga nini?Wateja hakuna kila unayemgusa hana hela,nishatumia hadi madalali,na viko sehemu nzuri tu
Mkuu nahitaji tuongee hii ishuMamii...nakuelewa sana...tena mno..hivi mm hapa niko kwenye mchakato wa kumshauri Mr ateme kazi ..mmepishana kidogo sana...yaan mm alifika kipindi akawa anakopa CRDB ile akipata mshahara wanafyeka chao then anakopa tena ya mwezi...
Acha woga...hapo shoga utapiga marktime za kufa mtu..hebu ufuate ushauri wa@Khan..!tena bora ww..kamaliza Msc 2012 ila mpk leo hajaanza kulipwa..alafu alivyo ccm damu..ahhaa may mosi akaniambia dogo mie nahamia ACT..niongoze sala ya toba..jaman maisha ya wafanyakazi wa serikalin ni magumu mno mno nyie jaman...Kama unaweza njoo machimboni tupige hela
!nw mtumishi wa serikali ukimtumia laki 1 Anakushukuru Mwezi mzima
!
Kuna mikoa mingne nuksi tu kuishi..hela inapatikana kwa mbinde sana . hama huko njoo geita my dear jipe 8mths..tutakuita boss mama(weka hela pata mapesa)
na kama utahitaj kushikwa mikono nipo hapa..pole!
kwa Mkoa wa Geita Fursa ganiUsitegemee kipato cha serikali unakufa masikini.uza uwanja mmoja fungua biashara.niambie upo mkoa gani ntakuambia ufanye biashara.usifikirie kufa kisa maisha mungu akutie moyo wa ujasiri
Mikopo inatutesa sanaa Watumishi wa Umma.Habari za asubuhi wana jukwaa.