Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,190
- 4,263
Usijiue wala usiuze mwili
Aisee, nilikuwa sijasoma uzi wote, nimefika hapa naona tatizo ndio lipoVipi ukihamia hata chumba kimoja karibu na kazini ukapunguza matumizi ya nauli na nguo ukawa unanunua hata kila baada ya miezi 3 bila kujali watu watasemaje maana ofisi zetu tunazijua ?
Kumbuka wewe ndio unajua uko katika hali gani, usilazimishe kujionesha kwa public mambo mazuri wakati unaumia maana utaharibikiwa zaidi.
Finally utakuja kugundua hakuna anaejali sana kuhusu unaishi vipi na hata kama yupo anaweza kuwa ana matatizo makubwa kuliko wewe.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Wanawake wanajifanyaga kupenda sana watoto kama silaha ya kupigia wanaume,sasa usihangaike nao wakikomalia watoto waachie usihangaike nao japo mm huwa nawaonea huruma watoto,yaani upuuzi wa mwanamke unaenda kuwaadhibuPole sana Dada
MM nakushauri kwanza mtafute mzazi mwenzio reconcile nae then majuku ya watoto yabaki kwa Baba,,,Mwanaume ukiwa na mtoto hela utapata tu mungu alitujalia hicho,,
MM pia niliachana na mazazi mwenzangu alicho kifanya alienda shule akamuhamisha shule na jina akabadili akampa majina ya kiislam mm nilienda dawatini ila hawakunisaidia roho iliuma sana ila baadae nikapata watoto wawili nikaacha kuhanagaika mwaka 2018 alipoona nipo kimya alininpigia mwenyewe tukazungumza tukayamaliza na mtoto mpaka sasa yupo kwake ila namsomesha mm na kila nampa,,niligundua kumbe alifukuzwa kazi..
Nakushauri mrudie mzazi mwenzio
Sijamlaumu Kwa lolote Wala sihitaj kumwadhibu Kwa lolote,atajijua na Mungu wakeWanawake wanajifanyaga kupenda sana watoto kama silaha ya kupigia wanaume,sasa usihangaike nao wakikomalia watoto waachie usihangaike nao japo mm huwa nawaonea huruma watoto,yaani upuuzi wa mwanamke unaenda kuwaadhibu
Mtu anajifanya hana haja na huyo mzazi mwenzie lakini anamlaumu,huyu kachangangikiwa
Unaviuza shingapiWateja hakuna kila unayemgusa hana hela,nishatumia hadi madalali,na viko sehemu nzuri tu
Kwani bank wanachukua bare land sikuhizi?ngoja nitaulizia wadauUmesema unakiwanja Fanya hivi kisaminishe benki wakupe mkopo harafu usirufishe mkopo hata wakija kupiga bei hicho kiwanja huna haja nacho
Sina Kijiji cha kupeleka wanangu kwani walonilea walishafarikiAisee, nilikuwa sijasoma uzi wote, nimefika hapa naona tatizo ndio lipo
Mtu unalipwa 220k, unalipia watoto ada ya 100k kila mwezi, una mfanyakazi wa ndani unamlipa labda 30k, unaishi nyumba yenye vyumba viwili labda 100k, unalipia umeme labda 20k, maji labda 10k, chakula kwa kujibana ni 80k, nauli ni 40k, Jumla ni 370k
Ana matumizi zaidi ya mshahara wake ya zaidi ya 150k kwa mwezi
Hapo kwa haraka haraka ni kufanya hivi
Watoto wapeleke shule za Serikali, au hata kijijini kwa bibi waende za kijijini huko, umesave almost 80k, nyumba ondoka tafuta single room hapo ume save kama 50k, beki tatu ondoa, umesave 30k, chakula chako mwenyewe kama kazini mnakula hata 60k inatosha, so umesave 20k
Negative balance inaondoka...
Mtumishi wa Umma
NINA BONGE LA USHAURI NA HAKIKA UKIUZINGATIA UTA_WIN SOON NA UTAFURAHI,Habari za asubuhi wana jukwaa.
Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.
Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.
Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.
Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.
Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
KWA WANAUME VIJANA NA WENYE UMRI WA MAKAMO,Hayo ni mapito tu,Maisha yetu yalivyo ni kama uonavyo season za vipindi vya majira katika mandhari zetu kama kuna kipindi cha joto,Masika,vumilia maisha ndivyo yalivyo,Na pia kama unauwezo jaribu kutafuta mume uolewe huenda mawazo yakakupungikia
Suala la kuacha kazi, ni moyo wako binafsi na kile unachokiamini, hapa yatakuja maoni mengi lakini yanaweza yakawa nje ya moyo wako unachoamini.Nahisi nikiacha kazi nitapata msukumo wa kujua Cha kufanya
Kazini napoteza muda tu kiukwel
Nina mpango wa kufungua kampuni,nishaandaa Hadi momerandum,nahangaikia kuisajil tu
Then nijitose,huenda nikikosa hata hiyo 220k nitapata akil Zaid na hasira ya kufanya vizuri zaid
Amesoma niniUsiache kazi kama huna mbadala wake wa uhakika, ukiacha kazi ndio utajua kuwa kazi ilikuwa inakusaidia
Pengine unaishi maisha ya juu kuliko kipato, tafuta nyumba ya bei rahisi, watoto wapeleke shule za serikali kama wapo private
Laki 2.2 unaweza ku survive nayo tu hadi mambo yatakapokuwa mazuri
Mimi nina ndugu yangu kasota Chuo Kikuu na hana kazi ya kumuingizia hiyo laki 2.2 tangia mwaka 2013, una afadhali kuliko watu wengi ndugu
HIYO AYA MWISHO HIYO INA MADINI KUNTU SANA-Pole sana. Ukiacha kazi ndio umejimaliza. Hata hicho kidogo ulichokuwa unakipata, hutokipata. Hicho kiwanja usiuze kwa bei ya tamaa. Yani usichukue matatizo yako yote ukayajumlisha ndio ukapata bei ya kiwanja.
Watoto wasomeshe shule za nafuu. Shule za gharama zitakutesa. Panga nyumba ya kawaida sana. Hali unayopitia wewe ni ya kila mtu na kifo cha wengi ni harusi. Kama ulikopea mshahara, jitahidi kumaliza mikopo ili upate mshahara kamili. Kumlaumu Rais kuwa unapokea laki mbili na ishiri na ukute mshahara wako ni laki saba na zaidi ila umeukopa mpaka ukabaki kiduchu, itakuwa ni kumlaumu mtu kwa 'makosa au uzembe' wako mwenyewe...
Mwisho wa siku, jihusishe na shughuli ndogo ndogo za ujasiliamali iwapo mda na rasilimali zitaruhusu. Ni vyema pia ukatafuta likizo ili walau ukapumzishe akili.
Mwisho wa siku, wanawake kuweni waneyenyekevu.
Mnapata wanaume wa maana mnawatibua, na sie wanaume wapole tusiopenda mikwaruzano huwa tuna decion moja tu. You either pack and leave or I pack and leave. Sasa unajikuta uko peke ako na mizigo yote unaibeba wewe. Ukiwa mnyenyekevu mkasikizana na mwenzako mkaishi pamoja, baadhi ya changamoto mnakuwa mnazitatua kwa pamoja hivyo maisha kidogo yanakuwa na unafuu!
MKUU,Najipa moyo vipi?nataka Sana kuacha kazi sema sijajua Cha kufanya after and hawa wanangu ntawapeleka wapi?mie yatima Sina wazazi,walezi walonilea washao doka dunian wangeweza nisaidia,ndugu waliobaki wananiona mie ndio tajiri wa ukoo ilhali naugulia ndani,inshort wote wananiangalia mie
Habari za asubuhi wana jukwaa.
Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.
Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.
Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.
Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.
Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Ukiona mtu anakuitia fursa isiyoeleweka ujue we ndo fursa..,hv hiki kipindi wachimbaji wanavyolalamika kweli uache kazi we mshahara permanent uende cheza kamari migodiniMamii...nakuelewa sana...tena mno..hivi mm hapa niko kwenye mchakato wa kumshauri Mr ateme kazi ..mmepishana kidogo sana...yaan mm alifika kipindi akawa anakopa CRDB ile akipata mshahara wanafyeka chao then anakopa tena ya mwezi...
Acha woga...hapo shoga utapiga marktime za kufa mtu..hebu ufuate ushauri wa@Khan..!tena bora ww..kamaliza Msc 2012 ila mpk leo hajaanza kulipwa..alafu alivyo ccm damu..ahhaa may mosi akaniambia dogo mie nahamia ACT..niongoze sala ya toba..jaman maisha ya wafanyakazi wa serikalin ni magumu mno mno nyie jaman...Kama unaweza njoo machimboni tupige hela
!nw mtumishi wa serikali ukimtumia laki 1 Anakushukuru Mwezi mzima
!
Kuna mikoa mingne nuksi tu kuishi..hela inapatikana kwa mbinde sana . hama huko njoo geita my dear jipe 8mths..tutakuita boss mama(weka hela pata mapesa)
na kama utahitaj kushikwa mikono nipo hapa..pole!