Hapo kwenye umri punguza kidogo ifike japo 22 utapata wengi maana hao 29 kuendelea nadhan wanawake tayari sasa itakuwa kazi sana kukutimiza haja yako.
Ukiachilia mbali suala la kuwa na mke watu wanaseka hela. huo umri si wa kuchati. inaonekana huyu ni jobless hana kazi.
 
Hizi tabia sio zetu kabisa bwana wajina...

Anatuaibisha wenye majina hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom