Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Old member...new ID


Yani mtu hana hata week 3 JF kashashusha nyuzi 3 za kuhusu wanaume.
 
Yan umeona watanzania hawana kazi za kufanya kias cha kutoa watu upweke tu??
 
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Vipi kuhusu chakula cha Taifa je itakuwa added advantage au?maana kukutoa upweke kuna principle zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom