Ndio umfate pm sasa ukamuulize mfyuuuChura yupo?
Ndio umfate pm sasa ukamuulize mfyuuu

NaaaammKwenye sehemu hii binafsi nawaonea huruma sana ke yaani mara nyingi wanaume wengi wanaona mwanamke ni kwa ajili ya kufanya nae ngono Tu
Yap huwa sitaniiWacha weeehh
Siwezi kukupa hiyo chance
Sababu siwezi kata kiu yako
Usiseme kama mimi ndiyo ukawa hata salamu hutoi wala kuitikia. Si vizuri



Hongera29yrs tuko busy na familia zetu wala usitusumbue jamani!
Girlfriend wa ivyo lbd uka mtafte laboratoryizo rules ziko laboratory tu



hongera mama ongeza speed you are near to reachNatafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Ningekuja pm sema MIM nipo busy sana kutwa nzima natafuta PESA, labda kama utavumilia ?Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke