Nani yahya
Member
- Nov 14, 2018
- 46
- 10
toka nje ukatafute
Na hapo ndio matatizo yanapoanzia.hapo kwenye debe tupu ni tusi kwa mwanaume
Tatizo wewe mwenyewe hutaki kuijia pesa unataka nizitume PM ?
Na hapo ndio matatizo yanapoanzia.hapo kwenye debe tupu ni tusi kwa mwanaume
Tatizo wewe mwenyewe hutaki kuijia pesa unataka nizitume PM ?
Jaribu home see........Je hutaniomba hela?
Tuanzie hapo kwanza mengine yatafuata!
Nikupe namba hapa unitumie hiyo hela?
Hatari sana yakhekwani kuna cha zaidi ya hizo salamu na kuulizana umekula, umeshindaje, upo wapi na nani, unafanya nini!!!!!!!
hizo ndio point kuu ktk kuchat muda wote kama mtu upo tu kama mimi, mimi pia napenda kuchat
AiseeNakuona tu unavo jichelewesha kizembe unaacha kuja pm badae uanze kumlalamikia mganga wako kwamba amekudanganya kumbe wewe tu ndo hujiongezi
Kituna mambo karibu kwanguNatafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Ishii ?Message…mchumba awe na hofu ya mungu, ni pm
Ukiachilia mbali suala la kuwa na mke watu wanaseka hela. huo umri si wa kuchati. inaonekana huyu ni jobless hana kazi.Hapo kwenye umri punguza kidogo ifike japo 22 utapata wengi maana hao 29 kuendelea nadhan wanawake tayari sasa itakuwa kazi sana kukutimiza haja yako.