Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Hahahah ukiona "My" au "Dia" zimetawala chat ujue dhamira ni kuombwa tunda la makutano ya hips hapo (Mchebwede) ila approach inayotumika ni assimilation policy! Ukiingia king tu nawewe ukaanza kujibu kwa funga semi za "My" na "Dia" ujue tayari ni signal kwa team fisi kuwa umeshaelewa kali anaweza kusogea hatua nyengine ikiwa ku meet in person na kukuandalia mazingira ya mipasuko!

Mafisi wanakuwaga hawana cha kupoteza
 
Sasa ukute utaoanza kuwapiga mitama kuanzia sasa miongoni mwao kuna mumeo humo! Kwa hio tupeane ushirikiano kizazi zaidi yangu haiishi kama penseli na yako pia inatanuka na kurudia upya wake kulingana na nyakati, tulipewa bure nasi tusinyimane!

Ubaya wa hivi vifaa vikishaanza kutumika tu bhasi, na shida nyingine ni Basic need
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom