Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike (Girl friend)
Vigezo muhimu:
1. Mwenye upendo wa dhati (siyo fedha / vitu)
2. Mcha Mungu (Kahaba hapana)
3. Mwonekano mzuri wa umbo (Chura), usoni / reception, rangi yoyote.
4. Asiwe mvuta sigara
5. Utumiaji pombe wa kiasi (asiwe mlevi)
6. Awe tayari kupima afya.
7. Umri miaka kati ya 20 -30.
8. Awe na kazi yoyote halali (siyo ya bar amid - bamedi). Kiwango cha elimu siyo hoja.
9. Awe anaishi mkoa wa Dar Es Salaam

Nitumie ujumbe kupitia PM, Karibu 🙂.
Should you need translation, please contact me via PM. Thanks
Kila La kheri mkuu.
 
Mwonekano mzuri wa sura, umbo (awe na chura)??
.
Waache kwenda kudanga kwa mawaziri huko waje kwako unayelia lia asiwe anapenda hela.
Kila la kheri
Cute B..... mweeee! Yamkini wapo ambao hilo siyo kipaumbele.
 
Natafuta rafiki wa kike (Girl friend)
Vigezo muhimu:
1. Mwenye upendo wa dhati (siyo fedha / vitu)
2. Mcha Mungu (Kahaba hapana)
3. Mwonekano mzuri wa umbo (Chura), usoni / reception, rangi yoyote.
4. Asiwe mvuta sigara
5. Utumiaji pombe wa kiasi (asiwe mlevi)
6. Awe tayari kupima afya.
7. Umri miaka kati ya 20 -30.
8. Awe na kazi yoyote halali (siyo ya bar amid - bamedi). Kiwango cha elimu siyo hoja.
9. Awe anaishi mkoa wa Dar Es Salaam

Nitumie ujumbe kupitia PM, Karibu 🙂.
Should you need translation, please contact me via PM. Thanks
Mkuu me Niko tayari
 
Mwonekano mzuri wa sura, umbo (awe na chura)??
.
Waache kwenda kudanga kwa mawaziri huko waje kwako unayelia lia asiwe anapenda hela.
Kila la kheri
Wewe chura unao wangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom