Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,358
- 9,440
Poleenina shada na huyo mwingine basi!
Konde boy..
Uuuuuuu.. baby hafiiidh konkoniii.. ah amsingo.. duyu nodha ramsingoo.. am singo ageen..
Poleenina shada na huyo mwingine basi!
Konde boy..
Uuuuuuu.. baby hafiiidh konkoniii.. ah amsingo.. duyu nodha ramsingoo.. am singo ageen..
🫨🫨 Umejuwaje!Hivi wewe kumbe ni yule Tajiri sina Baya?😂😂😂 umebadili username?
Nimehisi tu🫨🫨 Umejuwaje!
🤣🤣🤣 ni kweli ila sasa niko singo nimezaliwa upya.Hii story imeaanzaje mbona inasikitisha sana 😭😭😭😂
Kwani inawezekana kuzaliwa mara ya pili 😂😂😂🤣🤣🤣 ni kweli ila sasa niko singo nimezaliwa upya.
Ndiyo ni mimi nimeyumba kidogo kwenye laifu, kama una jelo hapo nifanyie mazingira nipate Club sports.Nimehisi tu
😂😂🚶🏼♀️Ndiyo ni mimi nimeyumba kidogo kwenye laifu, kama una jelo hapo nifanyie mazingira nipate Club sports.
Ndiyo inawezekana, lakini ni kwenye ulimwengu wa Malavidavi.Kwani inawezekana kuzaliwa mara ya pili 😂😂😂
Ni Ile unazaliwa vizuri tu wazazi wako ila wanawake wasio na huruma wanakupiga mishtuko ya moyo mpaka unakufa ila baada ya siku ya 3 unafufuka 😂😂😂Ndiyo inawezekana, lakini ni kwenye ulimwengu wa Malavidavi.
Oya weeeee hebu Rudi umsitiri kijana mwenzako😂😂🚶🏼♀️
Mimi mwenyewe Jero 😄Oya weeeee hebu Rudi umsitiri kijana mwenzako
Jero tu 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe mkuu ni mtaalam kwenye haya mambo na bado unauliza!!😂Ni Ile unazaliwa vizuri tu wazazi wako ila wanawake wasio na huruma wanakupiga mishtuko ya moyo mpaka unakufa ila baada ya siku ya 3 unafufuka 😂😂😂
Inasikitisha sana nitawatumia mia 400 yangu ya nauli mgawane mia mbili mbiliMimi mwenyewe Jero 😄
Nilikuwa nawauliza TBC nipate ukweli na uhakika 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe mkuu ni mtaalam kwenye haya mambo na bado unauliza!!😂
Safi mkuu.. Asante sana.Inasikitisha sana nitawatumia mia 400 yangu ya nauli mgawane mia mbili mbili
Nipo tyr kurudi home kwa miguu
Hela yenyewe siioni 🥺Safi mkuu.. Asante sana.