Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
Ndiyo mkuu wazee wa zamani walisema mafahari wa wili hawakai zizi moja, mimi na yule tulipenda sana kwahiyo ni mafahali wa mapenzi.Mara hii kishaumana🤔😶
Ndiyo mkuu wazee wa zamani walisema mafahari wa wili hawakai zizi moja, mimi na yule tulipenda sana kwahiyo ni mafahali wa mapenzi.Mara hii kishaumana🤔😶
Mkuu chupa yenyewe moja unadhani atapata shingapi! Wewe jaribu kupambana upande mwingine.Mtanipitia na mimi
Hayo ndo maneno, alafu kesho tunauza hizo sahani utalia kwenye magazeti 😁😁Tatizo lako wewe hufunguki kaka......nauza na vijiko kwaajili yako mikono SI ninayo 😁
😂😂😂Magazet mbali sufuria SI Bado zipoHayo ndo maneno, alafu kesho tunauza hizo sahani utalia kwenye magazeti 😁😁
njoo nyumbani unielekezeNjoo nikupe bustani ya mchicha ulime, chamsingi ujitegemee kwenye miamala jirani.
Njoo nikupe
njoo nyumbani
weeeee tuliaaaaa nataka nimvute ili niwe marry wake😌Wichi iz wichi!!!
🤐🤐🤐weeeee tuliaaaaa nataka nimvute ili niwe marry wake😌
Asante ngoja aje aone🤐🤐🤐
🤸 🏃➡_____________________🏃➡️____________________________________🏃➡️
😂😂 alikua analete story zake ambazo ulikua una_summary kwa audio nakunitumia kwa 50,000/= per episode tbtHivi wewe kumbe ni yule Tajiri sina Baya?😂😂😂 umebadili username?
🤔🤔🤔 dah naisha ni safari ndefu...😂😂 alikua analete story zake ambazo ulikua una_summary kwa audio nakunitumia kwa 50,000/= per episode tbt
ndio hivyo kijana🤔🤔🤔 dah maisha ni safari ndefu...
Pole sana mkuu utapata wa kufanana naye atakaye kuvumilia kwenye shida na raha, uwe unasali😎Ndiyo mkuu wazee wa zamani walisema mafahari wa wili hawakai zizi moja, mimi na yule tulipenda sana kwahiyo ni mafahali wa mapenzi.
Sina dini sijui nasalije, niliingia kwenye ukristo kwa sababu yake tu sasa ndiyo hivyo tena.Pole sana mkuu utapata wa kufanana naye atakaye kuvumilia kwenye shida na raha, uwe unasali😎
swala la kusali halina uhusiano na dini hata kidogo.Sina dini sijui nasalije, niliingia kwenye ukristo kwa sababu yake tu sasa ndiyo hivyo tena.
Kama huna dini unasalije sasa, kwa nyenendo zipi yani!!swala la kusali halina uhusiano na dini hata kidogo.
Hehehe inasikitisha sana, rudi kwenye uislamu sasaSina dini sijui nasalije, niliingia kwenye ukristo kwa sababu yake tu sasa ndiyo hivyo tena.
Huko nilikuwepo ningali mdogo, nilipofikia balehe nikaasi.Hehehe inasikitisha sana, rudi kwenye uislamu sasa
Jitahidi uwe na chaguo moja sasaHuko nilikuwepo ningali mdogo, nilipofikia balehe nikaasi.
Njoo is whichWichi iz wichi!!!