Natafuta rafiki Bukoba

Natafuta rafiki Bukoba

Akhasaino cylivanus

New Member
Joined
Jan 2, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Habari zenu wana JF.

Jina langu ni AKHASAINO CYLIVANUS ( ni wa kiume ), naishi bukoba mjini na nina umri wa miaka 28.
Ninatafuta rafiki BUKOBA MJINI, kwa ajili ya mambo yafuatayo.

1. Kushauliana mambo mbalimbali ya maisha.
2. Mawasiliano nikimaanisha, kuchat na maongezi mengine kama hayo.
3. Kutoka out mara moja moja.

Sifa zangu.

1. Ni wa kiume.
2. Nina miaka 28.
3. Elimu, chuo kikuu.
4. Sijaoa

Sifa za ninayemhitaji

1. Umri miaka 25-35
2. Elimu, yoyote tu
3. Akiwa wa kike asiwe ameolewa.
 
Urafiki hautafutwi hivyo unakuja automatic.

Narudia urafiki unakuja automatic
 
Nyie wahaya si mna hela na mmesoma ? Umeshindwa kupata mwanamke unakuja mtandaoni???



Pato lako ni sh ngap kwa mwezi ?

Umejiajiri ama umeajiriwa ?

Unaweza kulea mtoto wa watu ?



Ushauri.... kama unayo nia ya dhati ya kupata mwenzi... nenda unakoabudu, chungulia taratibu utaona tu kabinti, ama mtaani, sokoni , mazingira ya kazn kwako n.k ! Huku mitandaoni hapafai, dunia imevaa dela
 
Habari zenu wana JF.

Jina langu ni AKHASAINO CYLIVANUS ( ni wa kiume ), naishi bukoba mjini na nina umri wa miaka 28.
Ninatafuta rafiki BUKOBA MJINI, kwa ajili ya mambo yafuatayo.

1. Kushauliana mambo mbalimbali ya maisha.
2. Mawasiliano nikimaanisha, kuchat na maongezi mengine kama hayo.
3. Kutoka out mara moja moja.

Sifa zangu.

1. Ni wa kiume.
2. Nina miaka 28.
3. Elimu, chuo kikuu.
4. Sijaoa

Sifa za ninayemhitaji

1. Umri miaka 25-35
2. Elimu, yoyote tu
3. Akiwa wa kike asiwe ameolewa.
Unataka rafiki au unataka wa kumpiga miti?
 

Attachments

  • FB_IMG_1532373108520.jpg
    FB_IMG_1532373108520.jpg
    39.8 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom