Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 2,696
- 6,231
Hio tu dear friendRafiki kipenzi au Rafiki tu kama Rafiki!
Hio tu dear friendRafiki kipenzi au Rafiki tu kama Rafiki!
Sawa.Jitahidi uwe na chaguo moja sasa
😂😂urafiki hauombwi sistaa unakuja tu automatic 😊
Sawa ngoja nifikirie.Hio tu dear friend
Nikaribie wapiKaribu sana mkuu
😄 sawa.Njoo is which
Ausio bana 🤣😂😂
Umejua kunifurahisha
Ngoja nisubiri hio automatic ituvute pamoja😹😹Ausio bana 🤣
😃😃😃Ngoja nisubiri hio automatic ituvute pamoja😹😹
Swali limekaa kimkakati sanaNikaribie wapi
Kimkakati kama hio karibu uliyonipaSwali limekaa kimkakati sana
Ulipendekeza, nikimpata rafiki asiye na lengo la monetary benefits nilete marejesho, Taarifa NI kwamba, Saa 11 jioni Nashukuru, ombi langu limefanikiwa nimempata rafiki, nitajitahidi urafiki wetu udumu.sasa ntapataje bando nchati nawewe huku neibaaa
Mkuu naomba uwe rafiki yangu kipenzi basi.
Barikiweni sanaaa na mkadumu AminaUlipendekeza, nikimpata rafiki asiye na lengo la monetary benefits nilete marejesho, Taarifa NI kwamba, Saa 11 jioni Nashukuru, ombi langu limefanikiwa nimempata rafiki, nitajitahidi urafiki wetu udumu.
Kwa kuzingatia Sheria ya faragha na kanuni za jamii forum, sitamtaja. Ahsanteni Sana Kwa Maoni na ushauri
Ahsante sanaBarikiweni sanaaa na mkadumu Amina
NImempata Rafiki mwenye vigezo na sifa nilizohitaji, tunakwenda vizuri, tumeafikiana kusonga mbele.Wenzio humu walisema wanachat na akili mnemba. Hebu ijaribu🤣🤣