Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,572
Sawasawa, kila la kheri.NImempata Rafiki mwenye vigezo na sifa nilizohitaji, tunakwenda vizuri, tumeafikiana kusonga mbele.
Sawasawa, kila la kheri.NImempata Rafiki mwenye vigezo na sifa nilizohitaji, tunakwenda vizuri, tumeafikiana kusonga mbele.
Ahsee kumbe Marafiki wanapatikan bhana!? Basi aje rafik mwengin wa kike😀Ulipendekeza, nikimpata rafiki asiye na lengo la monetary benefits nilete marejesho, Taarifa NI kwamba, Saa 11 jioni Nashukuru, ombi langu limefanikiwa nimempata rafiki, nitajitahidi urafiki wetu udumu.
Kwa kuzingatia Sheria ya faragha na kanuni za jamii forum, sitamtaja. Ahsanteni Sana Kwa Maoni na ushauri
JamaaaaaanNataka uwe rafiiki yangu Kijana Masikini
Usione wivuJamaaaaaan