Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
😂😂😂😅😅😅Atakua mbobezi wa mbupu za mbuzi za kuchoma
chibu
alhamdulillah angeniua yule.
😂😂😂😅😅😅Atakua mbobezi wa mbupu za mbuzi za kuchoma
Jipapase vizuri mkuu, bila hivyo naweza uza fulana ili nipate fegi nikarudi home tumbo wazi.Hela yenyewe siioni 🥺
MKuu una idea wewe jaribu kuuza unifosie na Mimi vichenchi kidogo nisuke keka la likizo timeJipapase vizuri mkuu, bila hivyo naweza uza fulana ili nipate fegi nikarudi home tumbo wazi.
Itakuwa umeona Kijana Masikini kawataja Harmful na dosho12 maana hawa watu kila uzi wapo pamoja 😅😅Nimehisi tu
Si ndiyo
🤣🤣🤣🤣 ni kweli mkuu, umekokotoa hiyo code.
Duh hili baridi la jioni uko radhi linichape mkuu! Au ndiyo niamini ule msemo kikulacho kipo nguoni?MKuu una idea wewe jaribu kuuza unifosie na Mimi vichenchi kidogo nisuke keka la likizo time
Kabisa mkuu...nasubiri ndugu yangu Kijana Masikini auze fulana nijue nafungaje siku 😂
TUlia sasa Nina chupa ya chai home sioni faida yake naenda kupiga mnadaDuh hili baridi la jioni uko radhi linichape mkuu! Au ndiyo niamini ule msemo kikulacho kipo nguoni?
Me mwenyew nimeanza kuhisi siyo I'd zake kweli 😂😂😂
🤣🤣🤣 huwa nawatamani hawa jamaa.. eti Mimi na Merry Diana ni mtu mmoja!! Huwa natamani kumwaga matusi sema basi tu sheria haziruhusu.
Mkuu naomba uwe rafiki yangu kipenzi basi.Rafiki wa hivi ukikosa pia basi wanaJF watakuwa na roho mbaya sana
Ushauri: Unaweza kupata rafiki wa aina unayoitaka kupitia kujichanganya na IDs tofauti tofauti jukwaani
Njoo PMMimi NI mwanaume, natafuta rafiki wa kike wa online WA kubadiliahana mawazo, Stori na uzoefu pasipo kuonana wala kukutana.
Itakosaje kudaiwa! Nitakupa namba ya side hapa utaseti manuva.TUlia sasa Nina chupa ya chai home sioni faida yake naenda kupiga mnada
Ikitick nakuchekesha namba yako Si haudaiwi 😂😂😂
Usiwaze Leo shereheItakosaje kudaiwa! Nitakupa namba ya side hapa utaseti manuva.
Mara hii kishaumana🤔😶Mcheki X wangu.
Wadau watakutolea lock hii code.
Kibosi.. kibosi mkuu👊🏾Usiwaze Leo sherehe
Mtanipitia na mimiUsiwaze Leo sherehe
Tatizo lako wewe hufunguki kaka......nauza na vijiko kwaajili yako mikono SI ninayo 😁Mtanipitia na mimi