Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 2,696
- 6,231
Nataka uwe rafiiki yangu Kijana MasikiniMcheki X wangu.
Wadau watakutolea lock hii code.
Nataka uwe rafiiki yangu Kijana MasikiniMcheki X wangu.
Wadau watakutolea lock hii code.
Umenyoosha mikono Mkuu 😂😎Mcheki X wangu.
Wadau watakutolea lock hii code.
Hahaa njoo nikupe shangaz yangu😆Mimi NI mwanaume, natafuta rafiki wa kike wa online WA kubadiliahana mawazo, Stori na uzoefu pasipo kuonana wala kukutana.
😆😆Haiombwagwi hivyo!!
Ngoja waje dume jike akina Lamomy
Njoo nikupe bustani ya mchicha ulime, chamsingi ujitegemee kwenye miamala jirani.kazi hazipo sasa
Naomba urafiki kakaRafiki mkia wa fisi
Naomba urafikiKila la kheri
Karibu sana mkuuNaomba urafiki
urafiki hauombwi sistaa unakuja tu automatic 😊Naomba urafiki kaka
Ndiyo, mapenzi bila pesa ni sawa na kutia sukari baharini.Umenyoosha mikono Mkuu 😂😎
Rafiki kipenzi au Rafiki tu kama Rafiki!Nataka uwe rafiiki yangu Kijana Masikini
Haha sasa huyo shangazi sasa mmh!Hahaa njoo nikupe shangaz yangu😆
Urafiki na mapenzi NI vitu viwili tofautiNdiyo, mapenzi bila pesa ni sawa na kutia sukari baharini.
Polee sana Mkuu utapata mwingineNdiyo, mapenzi bila pesa ni sawa na kutia sukari baharini.
Sihitaji kuchat na midoliKwa sababu hizo ulizotaja, binafsi naona ukichat na chatGPT utakuwa umepata unachokihitaji.
nina shada na huyo mwingine basi!Polee sana Mkuu utapata mwingine