Natafuta Rafiki, Mchumba

Wasiliana na Ms. Rambaramba (078725****). Ana specification zote unazohitaji hata na ziada. Ni mvumilivu sana wa shida, kiasi kwamba kwa mume wa kwanza alivumilia vipigo hadi akang'olewa meno 27. Hivi sasa ana meno 5 tu mdomoni. Hivyo ukimwoa hutakuwa na bajeti ya kununua nyama.

Warning: Ni mgumu kufika kileleni...kama wewe si mnywa gongo itakuwa shughuli kwelikweli kumpandisha mlima K'njaro...kama haja yako ni mikasi basi umepata.

haitaji mahali yoyote......Nakutakia kila la kheri.
 
...Nibo, sidhani kama ni busara kuweka namba ya simu hadharani namna hii, kumradhi iwapo una bifu binafsi na huyo 'Ms Rambaramba,' JF tunaheshimu mipaka ya uhuru wa maoni.

Ushauri wa bure; ni bora ("labda") ungemtumia huyo mheshimiwa kwenye private mail/message yake.

Samahani kama nitakuwa nimewakwaza wengi kwa kuifanyia editing hiyo cellfone number. Shukran.
 
Wasiliana na Ms. Rambaramba (078725****). Ana specification zote unazohitaji hata na ziada. Ni mvumilivu sana wa shida, kiasi kwamba kwa mume wa kwanza alivumilia vipigo hadi akang'olewa meno 27. Hivi sasa ana meno 5 tu mdomoni. Hivyo ukimwoa hutakuwa na bajeti ya kununua nyama.

Warning: Ni mgumu kufika kileleni...kama wewe si mnywa gongo itakuwa shughuli kwelikweli kumpandisha mlima K'njaro...kama haja yako ni mikasi basi umepata.

haitaji mahali yoyote......Nakutakia kila la kheri.
....Duh! Amebaki na meno 5 tu mdomoni si mchezo mkuu huyo denda lainiiiiiiiiiiiiii......Kufika kileleni ni ufundi na ubunifu tu si suala la gongo kwanza...
 
Tangazo/ombi la huyu mkuu linatisha.Hakuna mtu atajibu maana haijulikani anamtaka kwa ajili gani.Isije ikawa anatafuta kwa ajili ya ritual sacrifices! Si mnajua uchaguzi unakaribia na watz kama kawaida wanapenda kuiga? Nigeria ndo zao hizi.
Be specific/more elaborate Sam!

Well said WoS. 2010 inakaribia labda mganga kaagiza nyeti za mwanamke mwenye umri huo ili akamtengenezee jamaa majambo yake ili naye aukwae uheshimiwa :)
 
Hivi huku kutafuta mchumba mitandaoni ndio fashion? Au hawa watu wanaotafuta wachumba online wanamatatizo fulani flani.
 
Hivi huku kutafuta mchumba mitandaoni ndio fashion? Au hawa watu wanaotafuta wachumba online wanamatatizo fulani flani.

:D ...ni trend tu, itapita kama enzi zile 1970's na early 80's za kutafuta marafiki wa kalamu katika magazeti ya Mzalendo na Sunday News!
 
Huyo jamaa aangalie yasimkute ya Marlow na Rita. Ila kwa hapa bongo wahindi ndo wanakuwa wajanja ila kwao ni kama vile sisi na bongo yetu. Wahindi wamejaa sana bongo siku hizi na ukiangalia wako city centre tu! sasa hiyo influx isiyo na outlet ni ya aina yake. sasa jamaa mmoja akaniambia kuwa hawa wadosi wana shift 2 za kulala. kuna wale wanaolala kuanzia usiku hadi asubuhi na wale wanaolala kuanzia asubuhi hadi jioni, then wanapewa magari na kuanza kuzunguka mji mzima usiku na kufanya starehe za hapa na pale kuwapisha wengine walale. ukiona utaona gere ila ukijua undani utaona huruma. nenda city centre na club za usiku utawakuta wengi tu. so hawana ujanja kivile bali ni wabishi tu. kwa mwendo uliopo watajikuta kinyerezi wakijenga na kuishi huko kwani city centre haitawatosha tena!
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy

Zipi hizo....itakula kwako masee shauri lako.
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy

Sammy
Check check kwenye JF achieve kuna kipindi niliona Post ya mdada akidai anatafuta mme (nafikiri alimaanisha Mume), na ingine Mdada pia alidai anatafuta Mchumba. Chungulia huko ukiona vipi unajimuvizishia mmoja wapo.
Good luck.
 
Kuna demu mmoja mitaa ya Tandale nilikuwa nammega, juzi nimemuona nadhani huyu atakufaa maana katulia sana. Katika kutia stori naye anadai habagui mtu, yeyote anayekatiza akimuhitaji twende kazini. Hata dini pia hana haja hata kuulizia.... Ni PM nikuchoreshee...... ila mimi nilishamwacha.
 
Mimi nawashangaa sana wamatumbi wenzangu. Hivi swali hili angeuliza demu wa kimatumbi kuwa anatafuta bwana wa kihindi, tungesemaje? Na je, wangejitokeza mademu wengine wakimatumbi kumpa mkakati wa kumpata bwana wa kihindi tungewaonaje? Mnasikitisha sana wenzangu. Mnasikitisha.

Amandla.....
 
...mnh, Mw'Mungu apishilie mbali,..huenda angeitwa 'kicheche-fisadi!'

Amandla-Awethu!
 
Naitwa Lucas naishi dar natafuta msichana ambaye atakuwa mchumba wangu, mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui dini wala kabila namba yangu 0713998604.Naomba awe tayari kupima HIV.Tafadhal naomba usibeep kama unaweza nipigie. Lucas
 
kwani hujui mwanamke ana kazi gani kwa mwanaume?

Makubwa!!! Tumefika huko tena. Vijana tulieni mmusaidie Samwel, naamini anatafuta girlfriend tu kwa ajili ya adventure, kwani kama ni kutafuta mke wa kuoa asingetumia utaratibu huu!!!
 
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy

Naitwa Lucas naishi dar natafuta msichana ambaye atakuwa mchumba wangu, mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui dini wala kabila namba yangu 0713998604.Naomba awe tayari kupima HIV.Tafadhal naomba usibeep kama unaweza nipigie. Lucas

??????????Confused kabisa!
 
Msanii mambo ya kweli hayo. Wengi wanataka virgin, wanasahau mambo ya ndani yanataka ujuzi . Si unaona wengi kutwa kwa vimada. Mjomba wangu alikuwa na mke (alimwoa virgin) Akapata anaejua kutunza mwanamme. mhh anakwambia mpaka taulo linapashwa moto, ndala zinapagwa yaani kila kitu unatayarishiwa. sasa mke hafanyi chochote, hata kupika -house girl. Wanamme wanapenda attetion kama wanazopata kwa mama zao.

wanaume hawapendi wanawake wenye CV ndefu maana yake kila unakokwenda nae watu walishapita ndio maana yake sam akasema mwenye tabia zinazokubalika na jamii, kama una marafiki wanaokupenda watakuambia kaka hilo ni garasa ondoka haraka iwezekanavyo...

wanawake wenye CV ndefu ni wazuri tu wa kula chap chap lakini sio wazuri katika maisha na hawana ushauri mzuri, ndio maana wanaume wengine utawaona wananyumba ndogo lakini nyumba kubwa itakuwa inaheshimika siku zote

huyo kimada wa uncle wako siku akiwa mke wake basi, ujue uncle wako atatafuta kimada kingine ukae ukijua, kwa hiyo usidhani ni juhudi za huyo kimada bali ni tabia tu ya uncle wako
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom