fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 535
- 553
Natafuta mwanamke, mpenzi, mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu, na asiwe muongeaji sana tafadhari.
Mimi ni mweusi, mwenye urefu wa wastani si mrefu na wala si mfupi,
Dini: Mkristo
Kazi: Muajiriwa kampuni binafsi
Elimu: Masters
Age: 30
Location: Sumbawanga
UMRI WA mwanamke uanzie 25 hadi 45, mwanamke nataman awe Sumbawanga au mikoa ya jirani.
Ambae yuko tayari aje DM