Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,010
- 3,933
by the way,
Am also looking for a "girlfriend".
Umri wangu ni 25, nafanya kazi, am single but searching.
Ni mkristo, mchapa kazi kwa bidii, serious sometime...especially at work. Loving and charming.
She should be not more that 24, but she has to be bright, understanding and she should be working somewhere. Sitaki golikeeper. Elimu yake iwe kuanzia form six na kuendelea, ila kama ni form four "liva" basi at least awe ameenda vocational college ama training yeyote. Awe na uwezo wa "kusoma, kuelewa na kuandika" kwa lugha ya kiingereza.
Asiwe kibonge, wala asiwe muoga kuongea na watu.
Vigezo vingine pia ni "negoshabo".
Kwa yeyote anayefiti hapo, tafazali ni pm tu kama kawa na mi nitajibu. Usaili utafanyika mara moja baada ya kupoke ujumbe wako.
Asante sana, naomba kuwasilisha.
WE PASCAL WE.....! UMESEMA UNATAFUTA WA MAISHA AU HIT AND RUN......?