Natafuta Rafiki, Mchumba

Baba H,

Mzee naona soko huria, da!!!! unapata jitu, kweli lina shule but tabia %, utalia Baba H, utaomba dunia ipasuke mzee, take care my young brother
 
kwiki kwi kwi !!! huu uchokozi !!

Wala sio uchokozi, ni hali halisi. Unajua hivi vi-bwana mdogo vya miaka 18 mpaka 22 ama 25 huwa vinasumbua sana, bora kijana akakomaa na hao hao watu wazima wa kuanzia miaka 30 anaopendekeza Mtoto wa Mkulima, ambao wanajua maana ya maisha kwa ujumla.
 
We Idimi, chakacha twatheza lini???

Nitawataarifuni hapa hapa katika jukwaa hili, naomba mvute subira nikamilishe "Memorandum of Understanding" pamoja na "Terms of Reference".
Pasi na shaka mtavuta subira.
 
n85600793_30146714_7533.jpg


Mzee ume analysi mpaka nimefurahi sana. Kwa hiyo bwana mdogo lazima afikirie kabla ajampata mwenziye. Wanawake siku hizi ni pesa pesa na wao. Halafu They are very kin in the first place lakini baada ya hapo wanarealize kuwa hawakupata wanaomtarajia. Matokeo wanaenda nje ya ndoa HUMMMMMMMM!!!!!!! I hate this!!!!!!!!!
 
Aiseee Kale kamjomba kangu angekufaa sana and degree ya uhusiano wa kimataifa, lakini ni mweupe una ng'ombe 40! Mmmmmmmm!!!!!!!!!
 
Yupo mmoja hapa mtaani kwetu,ana degree halafu anaongea huyo 24hrs vipi nikuunganishie nini?
 
mkuu kwenye elimu umekaba mno wachumba wazuri ni kuanzia form four-six then diploma hapo utapata mchumba wa maana ila ukizama kwenye degree mkuu hapo sasa wazugaji ni wengi sana.Ni bora ushuke chini kidogo kielimu kisha ukimnyaka si unamwendeleza mkuu.Ila hapo kwenye degree utajuta tu.
 
sina hakika hapo pana muoaji kweli,kwani huko alipo wanawke hawapo.Ndoa siyo kama biashara ya kuuza mchicha ikishindikana unaacha.Jaribu mfumo mwigine siyo huo.
 
Am looking for a sexual partner....:)
a girl, can be from 18 to 40
just online sharing, OR can meet somewhere...
PM if interested..
Am a slim guy built white guy,age 23 !


:rolleyes:
 
Am looking for a sexual partner....:)
a girl, can be from 18 to 40
just online sharing, OR can meet somewhere...
PM if interested..
Am a slim guy built white guy,age 23 !


:rolleyes:

1 800 DESPARATE
1 800 IM HORNY
 
...addiction nyingine hiyo ya JF!, watu wanakosa hata muda wa kwenda 'kujichanganya', wanataka penzi la 'online'!

kaaazi kwel kweli
 
global warming!!!! naona sijui nami nianze kutafuta pia!!!!LOL

...wooow!

'AM AVAILABLE'! :D lakini hapa hapa online tu, i guess 'when caught cheating' online si sawa na 'live'...au?

...LOL!!!
 
Am looking for a sexual partner....:)
a girl, can be from 18 to 40
just online sharing, OR can meet somewhere...
PM if interested..
Am a slim guy built white guy,age 23 !


:rolleyes:
That is good cam by cam!more than 100% safe
 
That is good cam by cam!more than 100% safe


....haswa, (no offence intended) unakuwa 'mpiga bodi' au 'mkozimeni', ...ili kuhalalisha kizungu wanaita pervert, au le Vouyer! ila kiukweli ni it's just another 'fling' in the fantasy world, aka FETISH!...LOL

...am out!!!
 
tunakoelekea sijui nikwite usoni au mbele.


maana jamaa alikuwa anauliza kuongoza ni kukaa mbele au njuma ?

yeye anasema anaona mzee makame anaongoza kundi na huku akiwa yuko nyuma na wakati mmoja akaona askari akiwa mbele na kundi liko nyuma likimfata akaambiwa pia anaongoza


sasa waungwana hii ni kali tunaomgoza kivipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom