LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,338
- 6,427
acha uchochezi, ntamwambia ally!!hahahah nayo inaogopa utawala dhalimu wa ma ccm!inaogopa kudanja
acha uchochezi, ntamwambia ally!!hahahah nayo inaogopa utawala dhalimu wa ma ccm!inaogopa kudanja
ha ha ha acha uogaHiki chuma bora kufuga panya tu
Aisee...... Ni ukweli mtupu!
we unapenda wale paka wa kunya kwenye makochi na kwenye ungaMmmh! Paka hana mvuto kabisa, mi napenda paka ninayecheza naye.
Asante kwa ushauri. Bilashaka mwenye panya wake atakuwa amepata ushauri wako.
Paka ni matunzo na mafunzo, paka wangu alivyokuwa mdogo nilikuwa namwekea mchanga ndani kwaajili ya haja zake. Alivyokuwa akawa anamaliza haja mchana, na ikitokea akabanwa usiku atanisumbua mpaka nitaamka kumfungulia akafanye mambo yake nje.we unapenda wale paka wa kunya kwenye makochi na kwenye unga
mama alileta paka home aisee anakunya ovyo daaah,, kuna siku alikunya kwny koch nikayakalia yananuka vibaya,, nasikitika nilichomfanya ndo ukawa mwisho wa maisha yake mama nisamehe r.i.p paka wakePaka ni matunzo na mafunzo, paka wangu alivyokuwa mdogo nilikuwa namwekea mchanga ndani kwaajili ya haja zake. Alivyokuwa akawa anamaliza haja mchana, na ikitokea akabanwa usiku atanisumbua mpaka nitaamka kumfungulia akafanye mambi yake nje.
Panya hakatizi, atamuua ila hamli.
Napenda sana paka kwa kweli, ila awe na mvuto na ninapenda nimchukue akiwa mdogo sana nimlee mwenyewe.
mama alileta paka home aisee anakunya ovyo daaah,, kuna siku alikunya kwny koch nikayakalia yananuka vibaya,, nasikitika nilichomfanya ndo ukawa mwisho wa maisha yake mama nisamehe r.i.p paka wake
Jamani kwanini ulimuua? Mngemfundisha tu.Naomba kinu kimojaView attachment 705410
niko masasi
Labda kulala ila kakitaka kunya kanatoka kwenye boxTunaweka kwenye box
Huyu paka inaonekana ana akili sana na anaelewa lugha apa inaonekana ulimwambia kaa flesh nikupige self kajipanga vizuri sanaHuyo hapo, nipe kilo 50 mkuu![]()
Mkoani huku Iringa tunakula Panya hatari mpk majuzi serikali imeingilia kati.Panya wa dar ni kama wanaume wa mikoani