124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,522
hujui aina ya paka ,kwa panya hao ndo wenyewe ni aina ya taby cat hawa slim body!Napenda paka ila huyu hata bure simtaki
hujui aina ya paka ,kwa panya hao ndo wenyewe ni aina ya taby cat hawa slim body!Napenda paka ila huyu hata bure simtaki
Duh! Hao panya wako wamezidi lol!
Hapo hata ukipata paka utakuta wamefanya njama na kumfunga kengele shingoni ili akipita wamsikie![]()
![]()
![]()

Mmmh! Paka hana mvuto kabisa, mi napenda paka ninayecheza naye.hujui aina ya paka ,kwa panya hao ndo wenyewe ni aina ya taby cat hawa slim body!
Mchagua jembe si mkulima, chukua huyo mwenye sura ya kaziHahahah.. Hana ndugu yake mwenye sura nzuri kidogo

temeke nifate private mkuuWako sehem gani nije kuchukua
Nina uwezo wa kujigeuza paka njoo tuongee biashara tatizo lako nitalimalizaNasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe
huyu paka au kitu ganiHuyo hapo, nipe kilo 50 mkuu![]()
Kuna paka wanang'ata ukikaa vibaya.. Ndo kama hao
hao panya wana haki ya kukunyorosha!Usijali mkuu c umeoa maana ukiwepo nyumbani nitakuwa paka ukitoka tu nasoma kitabu how to catch rateInabd ujigeuze kwanza tuone af tuongee biashara sasa
huyu paka au kitu gani
watakuwa wale paka wanaoliaga usiku kama watuLakini waache tu, maana hawana shamba hao inabidi tuwasaidieDawa yao ntaipata tu