Natafuta Paka

Huyo hapo, nipe kilo 50 mkuu
c2dc91fe822f7c75589ba718a59a8138.jpg
 
Hahah!! Naivi wanajua kuandika basi Ukitega sumu unakuta wameacha memo kabisa ...SISI SIO WAJINGA...
Duh! Hao panya wako wamezidi lol!
Hapo hata ukipata paka utakuta wamefanya njama na kumfunga kengele shingoni ili akipita wamsikie
 
Nasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe
ninae mmoja kazaa watoto watatu njoo uchukue utawalea mwenyewe hadi wakue
54f8485bde0d4d4af743e7d5caa1ca48.jpg
wapo na mama yao hapo
 
Back
Top Bottom