Natafuta Paka

Natafuta Paka

Tatizo ukichukua kapaka kadogo kanakunya ndani
Unachukua beseni unaweka mchanga,unakazoesha kukisaidia humo.
kakikua unaanza kukafungia kashinde nje vinginevyo
hata akiwa mkubwa anaendelea kujisaidia ndani.
akiishazoea kutoka nje kujisaidia inakuwa fresh tu.
 
Nipo Mlandizi kwenye bar maarufu sana, wapo paka wengi mno, nitakupa hata 5 bure. Ni PM
 
440237f4ebcc4506117dc3ad560633e0.jpg




Huyu wangu hakamati panya kabxaa
Sijui ni shoga ama vipi
Dah napenda sana paka mwenye rangi hiii sanaaa tuu.
 
Kuna sumu moja inanukia harufu ya nyama huwa wanaipenda sana,usiku ukiiweka,asubuh unaokota mizoga ya kutosha
 
Back
Top Bottom